menu-iconlogo
logo

Jipinde

logo
Lời Bài Hát
Ye aah chinga aaah

Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro

Na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo

Kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo

Uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani

We my sweet my hani bani nimependa kweli

Sio ku having fun ouwoo o

Oooh darling darling sweet sweet

Ile mida flani ndani tukwichi kwichi

Couple ishagonga na twitt twitt

Haujaniova saizi yani fits fiti weee

Kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo

Jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo

Jipinde Aawe aaye awee baby jipinde

Awee aaye aawe baby jipinde

No no no olea houwo wowo eeeh

Njoo nikupe kipande cha muwa awe

Na ninavyo kupenda siunajuwa awe

Vile huwezi kujishauwa kama kiuno kata

Kama nyonga teuwa awe

Mafuta nikupakaze kwa zako nywele

Hadi lips nauli usije dengua binuka utamu nipate

Kwenye pete ninase nikupe yote

Sipimi na tuimbe doli doli doli kwa yako migandisho

Maa kama mudoli doli doli doli maana

Mapenzi popote hata ikiwa kwa poli eeh

Darling darling sweet sweet ile mida flani

Ndani tukwichi kwichi couple ishagonga na twitt twit

Haujaniova saizi yani fiti fiti wee

Kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo

Jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo

Jipinde Aawe aaye awee baby jipinde

Awee aaye aawe baby jipinde

Jipinde của Ibraah - Lời bài hát & Các bản Cover