menu-iconlogo
logo

Nitasubiri

logo
Lời Bài Hát
Yey yeah

Mmmh...

Nakupenda baby

Nakupenda wewe eh

Ndani ya mtima wangu mamaa

Uko we mwenyewe eh

Niko mbali na we

Siko radhi nikukose wewe

Niko tayari wanipige mawe

Nitasubiri niwe mimi nawe

Ushanifanya niwe mental (mental)

Hata chakula sikitamani

I wish ungekuwepo (epo)

Tucheze cheze wangu wote mwandani

Ushanifanya niwe mental (mental)

Hata chakula sikitamani

I wish ungewepo baby eh

Nitasubiri (yeah yeah), usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

Mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

Mi nitasubirii

Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi mmh

Mi nakosa amani, namwomba mola we urudi nyumbani (mama)

Ufananishwe na nani, nimemiss ulivyonipa zamani

Subira mola amenipa, siku ikifika mi kwa penzi lako

Ushanifanya niwe mental (mental)

Hata chakula sikitamani

I wish ungekuwepo (epo)

Tucheze cheze wangu wote mwanani

Ushanifanya niwe mental (mental)

Hata chakula sikitamani

I wish ungekuwepo

Eeeeeh...

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

Mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

Nitasubirii

(Hawa ah ah ah Hawa) Nakupenda wewe

Ma baby (hawa ah ah aha hawa)

Nitakupenda weweee (hawa ah ah ah hawa)

Mamamaa (hawa ah ah ah hawa)

(Hawa ah ah ah hawa)

Yeeeey

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema

Mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

Mi nitasubiriii, nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema

Mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

Mi nitasubirii

Mi nitasubirii

Nitasubiri của Jux - Lời bài hát & Các bản Cover