menu-iconlogo
logo

Sina Neno

logo
Lời Bài Hát
Ayeeeaaa yeee

Ayeeeaaa yeee

Ayeeeeeee

Naona wameremeta

Ngozi imenawili, una furaha now

Kitanda hakina siri

Zao la tendo, una kitumbo wow

Mnapendezana

Penzi liko kasi kasi

Mkipostiana

Instagram status

Tushafunika kurasa

Mambo ya zamani, yalishapita

Maisha mengine sasa

Kuwa na amani, hakuna vita

Pre-Chorus

Siiikuchukii nakuombea

Maisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njia

Siiiumiii nimezoea

Ila na furaha, kuiona familia

(Aaaah aaah)

Niko salama, mimi sina neno. (Aaaah aaah)

Utaitwa mama

Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah)

Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah)

Utaitwa mama

Mtoto mpe upendoo (Aaaah aaah)

Uuuuuuuh

Iyeeeeee yeee

Iyeeeee yeee

Iyeeeee yeee

Najua unayo furaha

Kwa zawadi uliopata

Tena ulivyoshujaa

Mtoto mama amepata

Na nyie msije gombana

Mtoto akapata kashi kashi

Vizuri kuvumiliana

Matatizo mkaya discuss

Tushafunika kurasa

Mambo ya zamani, yalishapita

Maisha mengine sasa

Kuwa na amani, hakuna vita

Pre-Chorus

Siiikuchukii nakuombea

Maisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njia

Siiiumiii nimezoea

Ila na furaha, kuiona familia

(Aaaah aaah)

Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah)

Utaitwa mama

Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah)

Niko salamaaaa, aaaaaah aaah. (Aaaah aaah)

Utaitwa mama

Mtoto mpe upendoo (Aaaah aaah)