Iraki mpaka amerika
Wako karibu yakufunga vita
Mi mama mzazi nauliza
Ni nani ata linda watoto wetu
Bwana hussein anasema
Nataka salaam
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu
Mimi huyu nakosa njiya
Yakusikika kwa wakubwa
Kwa hakika tulijioneya
Vita ya kwanza ilizala fitina
Bwana hussein anasema
Nataka salaam
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu
Nakata matumaini
Ju kwa vile naona
Wakubwa hawajali macozi ya
Mutu mudogo analiya wake
Siraha ya amani ilikuta kwake
Mrclinton anasema
Nataka salaam
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu
Mrclinton anasema
Nataka salaam
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu