menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Shamra Shamra

Mbuzi Gang/Mejjahuatong
savory.66huatong
Lời Bài Hát
Bản Ghi
(Run di record)

(London, London, London, London...)

(It's your favorite boy, Cashkid on the track)

Haka ka-dame kazuri joh kako vero

Kisham-sham kinyam kitam-tam

Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo

Dame ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang

Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)

Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!)

Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)

Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham

Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!)

Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham

Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!)

Sherehe ni major tumekuja adi na tumbler (oo-wee!)

Na tulibeba Mejja yule alifanya Bablas

Mbuzi ndio rende tunaroga adi wakamba

Ole kitanda, ole-ole kandanda (waah!)

Tingisha kichwa na kisha kamwage dandruff

Kingfisher na picha ashaanza piga lap (waah!)

Snap, snap sa nadai kujip-

Yap, yap, tei then tupige nap (ayayaya!)

Haka ka-dame kazuri joh kako vero

Kisham-sham kinyam kitam-tam

Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo

Dame ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang

Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)

Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!)

Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)

Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham

Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!)

Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham

Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!)

Pesa sabuni ya roho inafanya mi nik-

Bash nawekea minyoo nakata maji Kinoo

Mapenzi mi huwanga dingo

Nyoka irudi kwa shimo

Luku ni fly ding'o inapiga Simple Stivo na (ayayaya!)

Mi huwa sijali

Sijali ka una chali

Naeza pita na wewe bila ata tafadhali

Daily niko majani mbuzi yukuwa angani

Mi hunyonga tai tu za monkey apa sidhani (wah!)

Haka ka-dame kazuri joh kako vero

Kisham-sham kinyam kitam-tam

Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo

Dame ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang

Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)

Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!)

Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)

Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham (Okonkwo)

Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!)

Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham

Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!)

Nijaje msupa?

Niaje?

Niko na talent

Kaa gani?

Naeza fungua bra na mkono moja

Unataka kuona?

Siwezi mind

Okay, keti chini, uh, geuka hivi, uh

Wacha ncheze kaa mimi na ulimi, aah

Usitoe ntakuchapa na hiyo mini, eh

Chali yako kwa simu kelele (wah!)

Chali yako ni stress ye ni msenge (mm)

Mpige block tupige sherehe (haha)

Usilie mamii skiza Magenge

Ntakutoa stress na ni kupunguzie nyege

Haka ka-dame kazuri joh kako vero (haha)

Kisham-sham kinyam kitam-tam

Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo

Dame ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang

Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)

Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!)

Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)

(Oo-oo!)

(It's yo' favorite boy, Cashkid on the track)

(Ayayaya!)

Nhiều Hơn Từ Mbuzi Gang/Mejja

Xem tất cảlogo