menu-iconlogo
logo

Niroge

logo
Lời Bài Hát
Raha ya nyumba mwanaume

Wacha nikutunze

Nyumba yetu tuipambee

Hapo nyuma tulishindiaga mabwende, karanga na makande

Ugali dona sembe

Usinune kwa maneno ya majirani wanoko

Hawaishi longo longo

Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong′oto

Jamanii sielewi

Baby you are

Ukimuona furaha Tele moyoni

Nkimuona tabasamu usoni ×2

Naomba muniroge Naomba muniroge

Kwani mapenzi matamu ×2

Sikusifii we mwanaume nguzo

Ulishndaga vikwazo tangu mwanzo

Ulipambna na wenye nazoo

Ili niwe Mali yako

Leo kula vyako

You are my dreams in my life hata mie moyoni we ndio unanifaa

Usinune kwa maneno ya majirani wanoko

Hawaishi longo longo

Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong'oto

Jamanii sielewi

Baby you are

Ukimuona furaha Tele moyoni

Nkimuona tabasamu usoni ×2

Naomba muniroge Naomba muniroge ×2

Kwani mapenzi matamu ×2

To the left to the right(spending my life... kwani mapenzi matamu)

Ukimuona furaha Tele moyoni

Nkimuona tabasamu usoni ×2

Naomba muniroge Naomba muniroge ×2

Kwani mapenzi matamu ×2

Niroge của Vanessa Mdee - Lời bài hát & Các bản Cover