menu-iconlogo
logo

Unfollow

logo
Lời Bài Hát
I saw u liked her picture

Wat about me unamfata mpaka tweeter

Now u want us to compete

I saw u liked her picture

Wat about me yeyeyee

Kama hakuna cha kuficha

Why don′t u get out of her insta

Unanikera kera kera kera kera yeh

Unavopenya penya kwa page zake

Unanikera kera kera kera yeh e e eh

Unavopenya kwa page zake

Macho yanatamani

Unfollow

Moyo unataman

Unfollow

Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani

Macho yanatamani

Unfollow

Moyo unataman

Unfollow

Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani

First of all I'm the baddest kwenye page

Yake don′t know what the hell are u looking for?

Au labda shape yake lips macho yake pengine umedata na dimpoz

Hata level zangu huwezi kompea na level za kwake ni simple

Beb plzzz want u hear me .if u know that u mean me

Unanikera kera kera kera kera yeh

Unavopenya penya kwa page zake

Unanikera kera kera kera yeh e e eh

Unavopenya kwa page yake

Macho yanatamani

Unfollow

Moyo unataman

Unfollow

Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani

Macho yanatamani

Unfollow

Moyo unataman

Unfollow

Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani

Kama me nakufaaa naomba usimfate

Taratibu watakukaaa imani ikutokeee

Kama me nakufaa naomba usimfate

Taratibu watakuakaa imani ikutokeee

Macho yanatamani

Unfollow

Moyo unataman

Unfollow

Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani

Macho yanatamani

Unfollow

Moyo unataman

Unfollow

Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani

Unfollow

Unfollow

Unfollow

Unfollow

Unfollow của Vanessa Mdee - Lời bài hát & Các bản Cover