menu-iconlogo
huatong
huatong
歌词
作品
Watchman na kingoto

Riecht zimeshika cheki design fulani

Niko jaba nimechonga tu hii majani

Na kigode na kichaser tu ni konyagi

Wai tire ndio uchome tu hii ubani

Ni mashadda za ngomongo tu huwezani

Umwage rangin juu ni bush ya fangi

Piga chingi chuma popo ana jagi

Nina tingi na nunu imepigwa radi

Unapenda kanuthu ama muratish

Unapenda manduguu uvue panty

Unapenda kiluku uvue shati

Rae rae zimerae rae

Apa ngae tewae zimeshika wasanae

Rae rae zimerae rae

Apa ngae tewae zimeshika wasanae

Leo tuna bash, kuingia das

Tulipishi rasa zinatulandisha mars

Ngoma ya wasiopi for my zelai

Mabati cock face man riambai

Chafua meza na madame wote wamevie

Lugha shegalai kila msanae arae

Keji ya mababi ndio sitaki

Umahuru ya wanati siwezani

Kama jeshi ni ya genge itapita na Kambi

Sikuizi ni mashasha money

Wenye dhambi wako kanisani

Si tuko mitini tuko majani

Rae rae zimerae rae

Apa ngae tewae zimeshika wasanae

Rae rae zimerae rae

Apa ngae tewae zimeshika wasanae

Napenda rizla aah

Zile za flavor aah

Okonkwo kuchoma ndio napenda aah

Majirani wasororaji wanaudhi inabidi nikichoma mazee niwashe udi

Rae rae mi napenda ngwae aah

Niko high juu ya mlima Sinai

Nikichoma collo dem namkemba hadi iyo punyetto inabonga

Rocky Colombo nda

In a hot box roro kushoto ngwa

Na mobox pedi wa ololo manguna ni wa Ngong′ road

Cheza hizi gengetone toa hizo bongo

Rae rae zimerae rae

Apa ngae tewae zimeshika wasanae

Rae rae zimerae rae

Apa ngae tewae zimeshika wasanae

(musical interlude)

更多Boondocks Gang/The Kansoul热歌

查看全部logo