menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Kaskie Vibaya

Fathermoh/Ssaruhuatong
wqedasfodsahuatong
歌词
作品
(Madness)

Uh-huh

(Ssaru) uh-huh, mhm

(Murder)

(Black Market Records)

Ati, chemichemi za uongo

Story za jaba, ndio utingize ubongo

Ndio ubebe, ka' walleti za kamongo

Bari-bari-barabara bana maringo (ringo)

Niko na pesa kushinda babako

Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie)

Kaskie vibaya huko kwenu (aii, wewe)

Kaskie vibaya huko kwenu

Uh, niko na pesa na ni za babako

Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie)

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu

Uh

Nilifika jiji nkakutana na budako

Akaniambia ka ni vako

Hapendangi za mamako (how?)

Kisirisiri, tukakutana kwako

Ni click-click-bang tu juu ya kitanda chako

Uh, hamna

Hela ni nyi mnateseka

Nini unalipa madeni na pochi yako

Miaka ni ishirini huko chini sitini, na

Mneti unatuvunjia mgongo

Ulinipa ka chance na nikapita nako

Uliponipiga intro siku ya introduction

Anani finance na school fees zako

Alinipeanga info kwanza ye' si babako

Unapenda wababa

Huonei watoto wako huruma?

One-shot

Na kwani hupendi utamu wa nduma?

Pesa hukutekenya-tekenya sana

We' rudi ukakune wababa wa Duruma

Niko na pesa kushinda babako

Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie)

Kaskie vibaya huko kwenu (aii, wewe)

Kaskie vibaya huko kwenu

Uh, niko na pesa na ni za babako

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu

Najua unaskia vibaya

Mi vibaya?

Eeh, vibaya

Nenda zako

Si naenda kwenu

Kwetu wapi?

Kwa babako

Mi si kutusi lakini, kudadadeki

Sikudharau, lakini we hudunga ndula feki

Uso marangi, uko sure hauniseti?

Cake 'n' bake, ni quality za Fenty

Ati, chemichemi za uongo

Story za jaba, ndio utingize ubongo

Ndio ubebe, ka walleti za kamongo

Bari-bari-barabara bana maringo (ringo)

Niko na pesa kushinda babako

Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie)

Kaskie vibaya huko kwenu (aii, wewe)

Kaskie vibaya huko kwenu

Uh, niko na pesa na ni za babako

Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie)

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu

Madness (Madness)

更多Fathermoh/Ssaru热歌

查看全部logo