menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Dai Dai

Fathermohhuatong
shrishma.n.5huatong
歌词
作品
Badness

What time it is ndio unafika home

Nilikuwa kwa Beth (ati Beth)

Eeh baby Beth, kwani kuna noma?

Na umelewa? (Sijalewa)

Umelewa? (Mi sijalewa)

Basi niambie perfume gani hunuka harufu ya chrome

Wacha ma issue bora sijakuomba yaku mochoa

Naeza du vile nadai si mi hupiga wera poa

I am sick of this I thought utatulia nikikuoa

Nitatulia wapi? Si we ndo uliimba sherehe ni sheria

Aki ya nani nakaa tu Mejja walai siskii

Niliambiwa na mamorio ule sumbua usimring

Najua stingo za mneti ona nkazama kwa hii shit

Cheki sai unakunywa kuliko ngamia za Isich

Baby umeanza kunitusi? (Eh na huwezi kunishow)

Wee umeanza urazi na hauna ganji inaweza tosha kuniplease

Kukuplease aki ya nani sasa umeanza kukuwa mdeep

Unajua pride ya mwanaume hushukia hapo ntakufix

Utanifix ndume suruali ju siku hizi we ni bitch

Unaniita bitch? Eeh bitch usijaribu kuniseal

Hapa kwangu kuingia time umechelewa ni six

Na hapa kwako siko shule baby give me some please

Na nakushow mi sikudai dai zii na sikudai dai tena

Time time sina mi nadai dai hela

Kai kai you must be a dumb dumb fella

Dai dai nigga mi ni diehard fella

Ati dai dai zii na sikudai dai tena

Time time sina mi nadai dai hela

Oh my you must be a dumb dumb fella

Dai dai nigga mi ni diehard fella

Baby boo I'm sorry I'll never hit you again

Why you lying you promised to be a man but you're ooh

Unajua nakupenda ukora mingi ndio uache

We unafikaganga manane ama juu mi ni mwanamke

But mbona sasa urudi home usiku ka umelewa?

So lazima nipige simu niombe ruhusa ndio nikate?

Okay okay si tuache vita tukuwe kama the Bahati's

Kifuniko ya gas ni rahisi kufungua

Si mapenzi ya kina The Wajesus Family

Ndio uanze kunililia hizo vako sidai

Ya Mulamwah (hio sitaki)

Simba na Zuchu? (Ufiche nani?)

Basi Njugush (we si mfunny)

Na Will Smith?

Na nakushow mi nakudai dai mina nakudai dai tena

Aii aii nigga we ndo my John Cena

Ngai mummy you must be a gorgeous fella

Why lie nigga you're my lifetime healer

Nakudai dai mina nakudai dai tena

Aii aii nigga we ndo my John Cena

Ngai mummy you must be a gorgeous fella

Why lie you're my lifetime healer

更多Fathermoh热歌

查看全部logo