menu-iconlogo
huatong
huatong
femi-onemejja-utawezana-cover-image

Utawezana

Femi One/Mejjahuatong
michelle0871huatong
歌词
作品
Femi, ndio ule Mejja, ndio ule Mejja

Si ulikuwa unadai kuchapiana na yeye

Ishia, ishia, ishia

Rico Beats, Mr. 808

Okwonko pole nimekuja ghafla

Usijali

Ni vile we' hukuwa umenibamba

Aah, Femi one pia kwangu we' ni mso

Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya Ligi Soo, eeh

Nakupenda manze we' hukuwa mhumble

Asanti

Legend, kwangu we' ni icon

Aah, story za icon kwanza weka mbali

Femi One, mi hukuwa nimekutamani

Eeh, Okwonko umeanza kunichocha?

Aah zii

Nishow, ni wapi uliniona?

Aah, Femi One

Eeh?

We' hunibamba, kwa Instagram nikicheki izo mapaja, aah

Okwonko na kitambi, utawezana?

Ntawezana

Nikikupea, utawezana?

Ntawezana

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Okwonko na kitambi, utawezana?

Ntawezana

Nikikupea, utawezana?

Ntawezana

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda kama vile napenda tumbler

Iko, haga yako iko

Naipenda ka mke nyumbani na mwiko (Eh-eh)

Mejja umeanza kuniflatter (Ah-ah)

Unataka kunikula kama platter

Ah, iyo kifua nataka kuichambua (Eh)

Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua, ah

Kidesign umeanza kunibamba

Nikikupea usiende kutangaza

Iyo ni siri (Wazi)

Ka PIN number

Sitaambia mtu, sitaambia ata King Kaka

Haina noma, leo utanikula

Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja

Okwonko na kitambi, utawezana?

Ntawezana

Nikikupea, utawezana?

Ntawezana

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Okwonko na kitambi, utawezana?

Ntawezana

Nikikupea, utawezana?

Ntawezana

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Napenda machali wako na swagger (Okay)

Nikicheki fashion yako, hapana

Femi One, hao machali luku-luku

Ni luku tu lakini hawana kakitu

Ah, nataka kurombosa hadi chini

Ah, nataka kuiokota uko chini

Ah, napenda kupakwa nikiwa juu

Ah, siteti napenda iyo view

Fungua bonnet (Okay)

Toa screw (Aha)

Mbona unanidai? Na usiniambie uongo

Ah, nakudai juu umetoka ghetto

Na we' ni manzi hardcore

Manzi mathongo (Aah)

Okwonko na kitambi utawezana

Ntawezana

Nikikupea utawezana

Ntawezana

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Femi uno

Mtoto wa Khadija (Haha)

更多Femi One/Mejja热歌

查看全部logo