menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Sesiliya

Khadja Ninhuatong
mloulous4huatong
歌词
作品
Tarehe makuni tatu na moja

Ya mwaka juzi

Umetuaca

Ukaji endeya bila kusema

Wuko wa wuko wa wuko

Wapi

Mwenyezi mungo atusayidiye

Atupative nguvu

Tuendeleye

Mwaka unapita hatuzoweleye

Tunaliya sesili sesiliya

Mimi na ikala cini mikono wazi

Mimi najaribu kupokeya hali iy

Sesiliya dada unaliliwa hoo

Watoto yako umetuaminisha

Kweli tutajaribu

Wote pamoja

Kwa kila hali tusayidiyane

Tuwale tuwale tuwaleye

Mimi na ikala cini mikono wazi

Mimi najaribu kupokeya hali iy

Sesiliya dada unaliliwa hoo

Unaliliwa ye

更多Khadja Nin热歌

查看全部logo