Omukhana wanje sitakhambi ndenyanga ekhutire
Na Kama uko mbali nami naomba unitext
Ndatsisanga omulwanyi ndatsisanga nawe
Cherie baby twende nawe ndakhuyanza baby
Eeeh ni wanje
Hello baby Shika simu kuna news fulani
Najua kwamba huna habari ila kwanza fahamu nakuja nyumbani
Ndio nimeland walai nakam ni serious si utani
Naskia kuna Jam but baby relax hebu anza kuchoma ubani
Inalega narudi Fulani,inafanya mi nakutamani
Hili penzi nafeel kwa ndani,nilikula ni mechi ugani
Yani honey usistress mboga ni majani
Nikuite honey bunny nimebeba madondo ya chwani
We niruhusu si nusunusu wacha nikuje nikupe mabusu
Mi huwa natembea na silaha butu wacha waseme ndio mi nisubutu
Mi nikipenda napenda kwa dhati so huyu mans…ni wanje
Kama ni uchawi nakubali basi ah baiby..niroge
Alafu kukuwacha nasema sitaki..ni nawe mpaka milele eh eh eh eeh
Ni wanje..baiby nasema niwanje
Nimewasili kesho navuruga nafanya bila wakili
Yani si siri huku mjini Mapenzi yanahitaji akili
Mi siamini Yule ukidhani ako sawa ni Ndume kuwili
Na nipo makini huku majogoo wa kijiji ndio wako mjini
Hapa nikipenda mi nishafika na nishasettle
We use kijiko mi nikoroge ju nago mental
Nikikukwaza roho ikuume iwe Kesi ya dental
Na mi huwa simind ata baby ukitaka tushike karental
So leo ukikosa jo mi sikutoki nangoja ya kesho
Ati rhumba ya ssaru ikija madem tufunge maleso
Mi nikipenda napenda kwa dhati so huyu mans…ni wanje
Kama ni uchawi nakubali basi ah baiby…niroge
Alafu kukuwacha nasema sitaki..mi nawe mpaka milele eh eh eh eeh..ni wanje
Baby nasema ni wanje