menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Silaha

Ukweli/Kashahuatong
mistic1225huatong
歌词
作品
Niwe vipi

Nishatubu nishasulubiwa Imebidi nihesabu subira Imezidi najitolea najikwaa

Oh niwe vipi

Niwe mtupu niwe bila Imebidi niwe mkavu kila kila Imezidi najitolea najikwaa

Hasira hasara

Niwe mpole

Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla

Ya ni' na usipopigana Utajipata we ndo una jeraha

Hasira hasara Hasira ni silaha

Tiki tiki bomu Mawingu radi na homu Na sina hata ngao Maisha ina maovu Mishale tu na makovu Ugomvi ndo makao

Kusema ukweli Amani ilienda na meli

Hasira hasara

Niwe mpole

Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla

Ya ni' na usipopigana Utajipata we ndo una jeraha

Hasira hasara Hasira ni silaha

更多Ukweli/Kasha热歌

查看全部logo