Mmmh
Nabaki Kibaki Yeah Aah
Tumeona wangapi
Wanacome wanazidi
So many promises
Wengi mafisi
Kuna wananchi na wenye nchi
Kuko wenye haki Kibaki atabaki Ahh
Kibaki atabaki yeah mzee wa kazi yeah
Mzee wa kazi yeah
Kibaki atabaki yeah mhh
Nilisomeanga public huko mashinani
We came from nothing
Mama was always hustling
Free education was my redemption
Sikujua kesho but now we run the nation yeah
Standing ovation kwa baba obako
Alikua example Alikua mhumble
Alifanya mambo we Jokes kando
Alikuanga Rambo Pa Pa Pa Pa
Tumeona wangapi
Wanacome wanazidi
So many promises
But wengi mafisi
Kuna wananchi na wenye nchi
But kwa wenye haki Kibaki atabaki Ahh
Kibaki atabaki yeah
mzee wa kazi yeah
Kibaki atabaki yeah ahh
Mzee wa kazi yeah
Give me my flowers
When Im alive
Washa hiyo dawa
We will survive