menu-iconlogo
huatong
huatong
diamond-platnumzbin-katam-feat-bien-cover-image

Katam (feat. Bien)

Diamond Platnumz/Biênhuatong
natishasandershuatong
歌詞
作品
Wimbo

Wimbo huu

Ajejeje mnh eh

Joto lije ntakupepea

Ntakutunza ntakutetea

Wanune wavimbe I don't care

Hawajui unachonipea mimi

Mpaka napagawa

Na sio mambo ya dawa

We ni mtamu mwaya

Na haunaga show mbaya

Ukinigusa tu nalegea mwili wote teketeke

Yani siwezi ata kutembea kama mtoto tete tete (Ayayayaya)

Na nyuma ni Muganda (Huyu mwana)

Shepu ya Kitanga (Huyu mwana)

Ngozi ya Kirundi ooh (Huyu mwana)

Sura ya Kinyarwanda (Huyu mwana)

Na nywele ya kisomali (Huyu mwana)

Macho ya Ethiopia (Huyu mwana)

Utamu Tanzania Ooh (Huyu mwana)

Akili ni ya Kenya

Yule anaepinga asimame

Anaepinga asimame

Sema ukweli wako

Nyie haka ni Katam tam katam

Kababy kangu jama, Katam tam katam

Kashunushunu bwana, Katam tam katam

Ooh mzuri wewe,Katam tam katam

Umeumbika mwaya, Katam tam katam

Aii yoo yooh, Katam tam katam

Kisura chake, Katam tam katam

Ona umbo, Katam

I know the bar was so low

Lakini umenivumilia

Mahaba nayasikia mama

Nakupa mia kwa mia

Baby you don't know

Vile umenishikilia

Uka ni kinga wa dunia mama

Sijui nikupe nini dear

Nafufua wahenga

Watunge nyimbo tamu na mashairi

Mtu asije tenga

Ishaandikwa duniani na mbinguni

Mchuzi we ndo flavour

Imebidi niite Mondi aje tujadili

Nikatuma mshenga

Hadi kwenu East Africa Mashariki

Na nyuma ni Muganda (Huyu mwana)

Shepu ni ya kitanga (Huyu mwana)

Na ngozi ya Kirundi Ooh (Huyu mwana)

Sura ya Kigali yeeh (Huyu mwana)

Na nywele ya Kisomali (Huyu mwana)

Na macho ya Habeshia (Huyu mwana)

Forehead ni ya Kenya (Huyu mwana)

Tabasamu la juba

Yule anaepinga asimame

Anaepinga asimame

Sema ukweli wako

Nyie haka ni Katam tam katam

Kababy kangu jama, Katam tam katam

Kashunushunu bwana, Katam tam katam

Ooh mzuri wewe, Katam tam katam

Umeumbika mwaya, Katam tam katam

Aii yoo yooh, Katam tam katam

Kisura chake, Katam tam katam

Ona umbo, Katam tam katam

Sa twende popopo adigidigi

Asuke rasta ama avae wigi

Jamani popopo adigidigi

Utaitaka tu kujigijigi

Jamani popopo adigidigi

Asuke rasta ama avae wigi

Nasema popopo adigidigi

Utaitaka tu kujigijigi

Eeh eh

Let's make a toast to my baby

East African lady

Let's make a toast to my baby

My African lady ooh

Let's make a toast to my baby ooh

My Asian baby aah

Let's make a toast to my baby ooh

My European baby aah

Aje jeje, mnh mnh mnh

更多Diamond Platnumz/Biên熱歌

查看全部logo