menu-iconlogo
huatong
huatong
歌詞
作品
Magix Enga on the beat

Go atrangi makata, chura abaki Heri uwenki na toto

Uko wiki Mteke wiki gizani mpige miti

Titititi picky titi titi Pinji linki mitini kingikingi

Zigi zigi mitini mingi mini Piki piki piki

Pikipongi cheki doggie ka-shawty piga quickie

Chain ori ori, niko kori kori Mfuko pori pori ndo nimejaza kama kori

Ameshika kutu si anakaa fori fori

Shika tori tori, chezea doli doli

Teka msupa ana mabuibui

Unastuka nimekuteka na hunijui jui unataka stingo

Fulani za magui gui ka una swara kuja area nina chui chui ah

(I-i-inauma but, itabidi uzoee)

Nasema dam digidigi mi ni team wikendi,

Come hivi hivi tuji kill vi deadly,

Nasema dam digidigi mi ni team wikendi,

Come hivi hivi tuji kill vi deadly

Cheki, si dharau chapa nani na thao

Si dharau chapa nani na thao

Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao

Nakata waba ni-niji fry liver, ju sijamanga mi ni kuririma

Nikiiva mali, nikiririma

Na balaa sina ngale, piga diva dimba Kitambi ya barley,

Jo makeki hujipa wakidhani nina mali na

Sita sitasita nina makagare, izame futi sita

Akivua dungaree ki tanker, keg hadi cham nakunywa

Ni tam tam, cheki have some kunyuwaa

Kahanjam kakikam mi nina kiuwaa Pongi small kama shimo ya mapua

Odi wa Murang'a wanadai niwe wao, madem wao nawanyoroshea kwanza kwao

Ikus zao ni misitu tu ka za Mau

Na jegi zao zimesag kama toja zao

Na hivi ndo mi huingia statoe na kajaba

Na hivi ndo mi hucheza longo na wamatha

Shosho mang'uru anadai sijui kawada, na zake zimeshika ashameza kajaba

Nasema dam digidigi mi ni team wikendi come hivi hivi tuji kill

Vi deadly nasema dam digidigi mi ni team wikendi kam hivi

Hivi tujikill vi deadly cheki, si dharau chapa nani na thao

Si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao

Si dharau chapa nani na thao

Cheki ananibore kwanza za kitore Alafu ananingorea kwanza za king'ore

Msupa utanichorea nikikupiga ngotea

Alafu utaninyorea nikikupiga ndiole Nikikupiga ndiole,

Nikikupiga ndiole Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole

Nikikupiga ndiole,

Msupa utaninyorea Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole

Maddox, cheki tu mahaga mi nadai kuzikemba

Mi nina kiforo kia chwani na spedi ka cheda

Vuta tu makoro na uitishe bartender

Wachana na hizo haga ushajua ushapenda

Parachichi sidai para ya chichi

Nikitichi msupa adai miti, titi titi,

Chikichiki mbleina apigwe pinji kama dingo akule minji aah

Gwiji gwiji mchezo wa anasa, ama jigi jigi aah

Nasema dam digidigi mi ni team wikendi

Come hivi hivi tuji kill vi deadly

Nasema dam digidigi mi ni team wikendi, come hivi hivi

Tuji kill vi deadly cheki, si dharau chapa nani na thao

Si dharau chapa nani na thao

Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao

更多Ethic Entertainment/Boondocks Gang熱歌

查看全部logo