menu-iconlogo
huatong
huatong
歌詞
作品
TakaTaka Lyrics

Siezi kufia dem

Me skuangi suicidal

Hadi paka mzee

Hukunywa maziwa bie

Body Ah Body Ah

Shake anah Iyeeeh

Bhajia na chipo hufanya haga imeee

Men are trash na bado ananitaka

Ananitaka ananitaka taka

Ananitaka eeh Ananitaka

Men are trash na bado ananitaka

Dem ananitaka

Si amepaka

Me baby boy nipeleke tu mtwapa

Juu kuna venye nina nyege inaniwasha

Siezi teseka si nitafute mumama

Twende Diani siku flani

Niskie poa tukiwa pale kejani

Akikunywa wine me nachana majani

Akiringa sana namuacha tu hewani

Anani anani anani ananitaka

Hawezi hawezi hawezi tu kunipata

Anabonga sana na ako na deni ya tala

Siezi kubali goshodo hii ni matata

Men are trash na bado ananitaka

Ananitaka ananitaka taka

Ananitaka eeh Ananitaka

Men are trash na bado ananitaka

Ana act baddie Na hajui me ndo ni G

Ati ana act funny na vitu Zangu legit

So sipendi ngeus cheap juu ntajikuta nacheat

Ati alakasi na shot ni magnazi

Loud and clear kwa mbogi fronter ni issue gani Gwan bado me nqskia

Ka ni manyanga mindo huku change gear

Gala ukinipee Naeza kanyangia

Sura cosmetic Mi kulamba lipstick

Niko hand gifted babe cheza na fig tree

Mambo ni sin sin

Njugu jaba na sim Sim Story ya gwethe siwes ku wekwa ting ting

Men are trash na bado ananitaka

Ananitaka ananitaka taka

Ananitaka eeh Ananitaka

Men are trash na bado ananitaka

Ananidai breakfast alinichai

Nikazama, toa mandunya tule mayai

Pewa chapati moja kwa haga ukizirai

Ukiteka, unaiteka ni kama ulibuy

Sura sijali bora haga ni Sidika

Nitamdish bora njaa ni ya indica

Ushaipewa na kienyeji sio diva

Lakini stingo zote anakupea unaridhika

Pewa ngoto ukiwa nginyo

Ni tamu kama nginyo we hudai na mbilikimo

Wairimo na Simo wa kina side zero

Body count 80 na unadai mita uno

Ala

Siezi kufia dem

Me skuangi suicidal

Hadi paka mzee

Hukunywa maziwa bie

Body Ah Body Ah

Shake anah Iyeeeh

Bhajia na chipo hufanya haga imeee

Men are trash na bado ananitaka

Ananitaka ananitaka taka

Ananitaka eeh Ananitaka

Men are trash na bado ananitaka

更多iPhoolish/Harry Craze/Exray Taniua/Fathermoh熱歌

查看全部logo