menu-iconlogo
logo

Sugua (feat. Diamond Platnumz)

logo
歌詞
S2kizzy baby

Sinsima mtoto mpe funguo za bima

Kanitoa bongo nimefika mpaka china totoo

Zipu ka kishungi nimezima

Amenipa lunch nimekula mpaka dinner yee

Santana Santana kitandani maji maji anapambana

Anainama kanainama kanavyoikota ka Maua sama

Asa lupwili pwili sikopeshi (sikopeshi)

Nampa mbili mbili sina brek (sina brek)

Nakadundisha mwili kitenesi (kitenesi)

Amenikill kill, murder case

Asa nioneshe alichokupa mama

Sugua

Sugua

Sugua

Sugua sugua sugua mama wee

Sugua (aaaaaa)

Sugua (aaaaaa) is Platnumz

Sugua (aaaaaa) zombie

Sugua sugua sugua

Hata niwe na pini pini ama kitoto

Kupo kwa chini chini ama kwa mboko

Goli 70 70 ama kimoko

Chenga mwilini, lini John Boko (broooke)

Udi, udi, udi, udi

Katoto kapo good good good

Mood mood mood mood

Ninakavyokatafuna kama food

Oyah katoto yani dooh salalee (eeeee doh salalee)

Na kama fish kambale (eheee ka kambale)

Wu kibidu bidua (oooh bidua)

Pindu pindua (ooh pindua)

Yani na ka chimbu chimbua (ooh chimbua)

Nambandika bandua

Ooh dada deki

Yani kama gaga limekwama kwa miguu

Sugua

Sugua

Sugua

Sugua sugua sugua mama wee

Sugua (aaaaaa)

Sugua (aaaaaa)

Sugua (aaaaaa)

Sugua sugua sugua

Oya yani wakiweka naweka (weka tuone)

Kichomoa nachomeka (weka tuone)

Weka weka weka mpaka down (weka tuone)

Kukomesha watoto wa town (weka tuone)

Weka kama unasusa (weka tuone)

Nisogezee kisambusa (weka tuone)

Weka weka weka mpaka down (weka tuone)

Nikomeshe watoto wa town (weka tuone)

Sugua (feat. Diamond Platnumz) Jux - 歌詞和翻唱