menu-iconlogo
huatong
huatong
歌詞
作品
Yeah, ahuu

Scorpion, ahuu

Mi siogopi, ahuu

Yeah, yeah

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Leo ni movie mnataka kuona na mi si Tokodi(Mi si Tokodi)

Visanga tutafanya leo lazima tupatiwe notice(Riakakakaka)

Lakini ambia mwenye nyumba nimesema siondoki(Hahahaa)

Cheki vile nimekafunga boss na mi sio chopi(Na mi sio chopi)

Mapesa najua kutafuata sana na mi siokoti(Na mi siokoti)

Makesi si pia natatua sana na mi sio korti(Na mi sio korti)

Na kale kambwenya kangu ka seko sina, na miss hio koti(Na miss hio koti)

Si tuko kimoja nikisema hawa ma OG ni konki(Konki fire)

Wako na kikosi ya mbogi ya Odi ya kina Munyoki(Munyoki murogi)

Na mi na Munyoki tukikuja kwako si hatutoki(No never)

Na ka una shida kimbia polisi ukapige ripoti(Toka kwenda)

Si aki ya nani leo lazima tuvunje rekodi(Vunja kivolume)

Ju kuna bash ya kuzima wasanii wa ngoma shoddy(Zima kabisa)

Si tuserereka mpaka wathii watoke na magoti(Hahaha)

But hizi ni vitu si tumezoea si hatuogopi(Rrrraah)

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(Rrraah kakakaka)

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Me siogopi, me siogopi, me siogopi(Si me siogopi)

Me siogopi(Na we huogopi?) me siogopi(Ka we huogopi)

Me siogopi(But me siogopi) me siogopi(Rrraah kakakaka)

Oya gathee, hii si lingala mi sio Koffi(Mi sio Koffi)

Na ukinihalla nipate Java na miss hio coffee(Na miss hio coffee)

Cheki vile mi huwaliza ngori na mi sio Kofi(Kofi Annan)

Na ukijaribu kuleta nyoko nyoko hapa ni makofi(Blurry f"ckin)

Tabia za Pozze zinaweza fanya useme siokoki(Aki ya nani)

Lakini wacha ninyamaze gathee nibaki kwa topic(Ukanyamazesh)

Hii ngoma nimefanya na Omollo na mi siwachochi(Omollo mgani?)

Omollo mmoja yule alishinda trophy (Brrrraaaah)

Nishawachanua mi siogopi

Mi ni kurutu jo mi sio softi

Ka ni kuroga then mi ndio bossi

Ka unaugua then hii ndio hosi

Hii ni beef jo hii sio Sossi

Hii ni hit jo au sio Motif

K.O.B jo leta hio coffin

Rest in peace jo mi siogopi

Mabuda mnachoma kazi ni ku copy paste

Hawa ma yungin ndo pia nyi mtrend

Mbona msikubali mmechapa

Ni ka mnasaka career zenyu zimeend

Mnazoza kwa mneti mashow mnapiga

Na zinafanyika ka kila weekend

Na ngoma mkitoa the only platform

Mnapata ni Citizen 10 over 10

Mi nipe candle siwezi potea

Ju kitu nafanya ni ngumu kusample(Woo)

Hard kuwa rapper lakini ikibidi

Namada pia beats za dancehall(Rrraaah)

Favourite rapper wako batty boy

Tulimpata akinunua tampoons

Mbogi yangu ya ubakora ni major

Utatupata na akina Kansoul

Acha kiburi punguza kelele

Zako pang’ang’a kwa mtaa we ni mwere

Utageuzwa kichungi ukizidi na kwere

Nilianza kuhustle enzi za Nyerere

Legendary kama Luanda Magere

Nina ofisi huko Mwea Tebere

Niko na maratchet wale ukiketi mbaya

Soda yako watakuwekea mchele

Before nianze rap hapa Kenya

Kulikuwa na shortage ya skill

Hakukuwa na talent(Omollo)

Akina Pinye walimada industry

Wakafanya ikuwe barren

Wakasema nisiroge na ngoso

Ati sababu sijatoka Karen

But F*ck you n*gga, guess sai

Nani anapiga mavideo na kina Clarence

HBR nangoja mnipigie simu mniambie pole

Hio top 50 mlitoa

Inaonyesha vizuri hamkufika hata college

Ju ka si Khali ndio number 1

Inaonyesha vile mmedharau jina

Freestyle zangu ndo

Most viewed on your channel

Na bado mnakosa heshima

Aaah, aki ya nani, eyoo Motif imebakia nani

Mbona wathii hawanitakii amani

Hii game me naif*ck ninaimwagia ndani

Nani hapa Kenya ameisukuma

Hii culture ya Hiphop kushinda Omollo?(Iyee)

K.O.B na Khaligraph kwa battle field tunasimama solo

Ahh unarada fiti

Kuna wasanii kadhaa bado wasaliti

Wanasaka kiki, si hawataki kuona sisi tukipaa

Watafurahi tukikaa Kamiti

OG we are brand them amachichi

Ama vipi bado mi nafanya mziki

If it ain't about the money don't tryna reach me

Nishamaliza hii kitu inakaa mazishi

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(Rrraah kakakaka)

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi

Me siogopi, me siogopi, me siogopi(Si me siogopi)

Me siogopi(Na we huogopi?) me siogopi(Ka we huogopi)

Me siogopi(But me siogopi) me siogopi(Rrraah kakakaka)

更多Khaligraph Jones/Lamaz Span K.O.B熱歌

查看全部logo