menu-iconlogo
logo

Napendwa (feat. Alikiba) - Remix

logo
歌詞
Napendwa Remix

Ouheee oooaaah ooh

(Yeooh)

(Mocco Genius)

Nakupa salamu kwanza pole Ex

Mi kwanza sahizi nanenepa

Nilie nae kanitoa stress

Nimesahau michoko ya nyuma nilipotoka

Hivi bado analupost?

Bwana wako analupost?

Walionichamba wale mashoga zako, hivi wapo wale mashost?

Namba zako nilikwishafuta nimezitafuta tu nikupe taarifa,

Nimempata amenipata hodari mwenye kila sifa

Juzi nimeona umepost picha insta

Umezidi kongoroka

Mifupa ilivyokutoka

Utadhani umetapikwa na nyoka

(Hook)

Umekondeana (Polee, pole sana)

Vipi danga lako la Masaki mmeshaachana?

Si tumependezana (Tumependezana)

Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana

(Yani rahaaa...)

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

(Ah! Hili chaka si chaka ning'oki)

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

(Mi nilisharulizanaa)

(Alikiba)

Eeh! Unakazi ya kushindia vijora

Cream imekuharibu sura,

We na bwana wako mmekutana wote hamna hela

Serikali imekwisha sera

Kumbe chakula cha masera

Mie huku mwenzako penzi limechanganya mperampera ooh!

Na niliforce maji kupanda mlima

Napambana kuwasha kumbe unazima

Nikaugua baridi na kutetema

Yani maateso

Ukawa unaringa kama umepima ah!

Na pole dada sasa umechina

Nimempata fundi sasa Ronaldo Delima

Ni minesoo!

Nilijua tu tusingefika mbali wewe na mimi

Unapenda makuu ndomana hukujali kidogo cha mimi

(Hook)

Umekondeana (Polee, pole sana)

Vipi danga lako la Masaki mmeshaachana?

Si tumependezana (Tumependezana)

Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana

(Yani rahaaa...)

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

(Ah! Hili chaka si chaka ning'oki)

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

Napendwaa napendwa

(Ooh mama maa aayaa aah)