menu-iconlogo
huatong
huatong
reklesssaru-kalale-cover-image

Kalale

rekles/Ssaruhuatong
seanfrazierhuatong
歌詞
作品
What does it mean to be a Bazu?

It means greatness, it means prowess

So basically to be a Bazu is to be

Hahahaha it's just to BE

So just be ME and if you don't like it well...

Hahahaha it's the wild wild Willis (Bazu)

Mavo ketkino bwana, ketkino bwana

Ketkino wathe wathe huru

Wabebe!

Yeah Kalale, Kalale

Ati ati nini kalale

Eey kalale

(Mavo on the beat)

Hii ni lazma utamark kwa kalenda

Ya ma-master ma G, mabazenga

Pia kafala na beef nakalenga

Na ka kawa mi huvunja agenda

Sibishanangi siku hizi niko busy

Labda ka ni bei za Benz na mabiggy

Hakunanga mtaa naeza kula baridi

Buda kila esto jiji nina bibi

Kalale (Unakulanga ferrari)

Kalale (Rusha mawe ka Khalwale)

Ati nini kalale (Unaongea mingi ka hoe)

Kalale

Eey ati nini kem kem

What a gwan eeh, what have I missed?

Ka si ganji hainisaidii

What a gwan eeh, What about it?

Broman ka unadai beef kalale

Lale lale la, kalale

Eey ati ati nini kalale

Lale lale la, kalale eey

Papa fathela kile imebaki ni kujengewa statue

Na usiache ndula nje na unajua tuko Pipu

Tuko upde na TK mbogi yote my crew

Masilver ndo zimejaa kama Manchester Blue

Chem ndo ilikuwa inafanyaga nidoz daro

Papa God si unionyeshe ganji kama Flaqo

Niadisie, mafigure macomma na mazero

Very soon itabidi nikisonga ni ki Prado

Fan after fan kuwachukua wakikam

Na mali ikiwa safi ongezea bei ya bidhaa

Wasoro kuwapunish kupepea ka kiflag

Na ukizidi kulegeza ndo utatekewa madam

Kem kem what a gwan eeh

What have I missed? (I missed)

Ka si ganji hainisaidii (Saidii)

What a gwan eeh, what about it? (Bout it?)

Broman ka unadai beef kalale

Lale lale la, kalale

Eey ati ati nini kalale

Lale lale la, kalale eey

Katubongi pesa ni upuzi (Haha)

Nataka kuwa na shares Kakuzi

Yoh nijenge huko Nyali

Ininyc nikikunywa sharubati

Ukirushwa manzi kalale

Compe ni compe roho safi

Bazu, bazu,

Mi hufanya biz na mabazu

Sipendi chali amewekwa

Unalipiwa nyumba Ruaka, Kalale!

Wanaume wakiongea Kalale!

Okwonko

Hey ati ati nini Kem kem

What a gwan eeh, What have I missed?

Ka si ganji hainisaidii (Saidii)

What a gwan eeh, what about it? (Bout It?)

Broman ka unadai beef kalale

Lale lale la, kalale

Eey ati ati nini kalale

Lale lale la, kalale eey

Aah ka niko mboka huwa sibishani na wale

Alafu buda kwa hii game mi ndio huchezanga malale

Nakuja solo nyi mkikujaga wanane

Na ukileta usoro nakupiganga mabare

We kalale hapa ni kwa watu wa kale

Ju wanitafuta huwa niko hapa na pale

Na isipojipa mi nahamia Kitale

Ka Poshomill pale napunguza ukware

Ukware hizo vako za ku-party mi sisare

Sisare ju bado mi ndo hutembea na nare

Na ukinipata kwa chuom mi nitakosaje mali

Mi nakulanga mbosho we ukikulanga mabare

Kem kem what a gwan eeh

What have I missed? (I missed)

Ka si ganji hainisaidii (Saidii)

What a gwan eeh, what about it? (Bout it?)

Broman ka unadai beef kalale

Lale lale la, kalale

Eey ati ati nini kalale

Lale lale la, kalale eey

更多rekles/Ssaru熱歌

查看全部logo