menu-iconlogo
logo

Akilia Mama

logo
歌詞
Mama mama mama yeaaah mama mama mama mamaaa

Mama mama mama mama mama mama mamaaa

Mama mama mama

Mama jyamini mama jyamini mama jyamini

Nakuomba nisikiee

Leo nimekujaa dhumuni na haja

Nia yangu kujenga family

Nimemuona sana toka anasoma

Shule ya mandela mjinii

Nakuomba sana mama nimempenda jyamini

Na haja yangu kubwa kujenga family

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampeeendaaa

Everybody anampendaaa

I work hard everyday

To feed my children and pray everydaay

Majukumu ya familiaaa

I work haard

Nimemfunza kutunza heshima

Ametuliaa na nzuri tabiaa

Hata ukimuoa hutojutiaaa

She works hard

I work haard

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampeeendaaa

Everybody anampendaaa

Mama mama mama mama mama mama mamaaa

Mama mama mama mama mama mama mamaaa

Mama mama mama mama mama mama mamaaa

Mama mama mama mama mama mama mamaaa

Akilia mama akilia mama mawazo ya mama yanafanya kazi

Akilia mama akilia mama mawazo ya mama yanafanya kazi

Akilia mama akilia mama mawazo ya mama yanafanya kazi

Akilia mama akilia mama mawazo ya mama yanafanya kazi

Mama

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampendaaa

Everybody anampendaaa

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampendaaa mamama

Everybody anampendaaa

Everybody anampendaaa

Akilia Mama Yvonne Chaka Chaka/Ali Kiba - 歌詞和翻唱