Naishi naisha na sura inakosa nuru
Napukutika mnyonge muonga mie kunguru
Namridhisha, nawa mwisho kwenye msululu
Penzi la kujificha mbele za watu haliko huru
Siri nikashiba mwanga ndani nj'e giza
Kanipa ratiba zamu yangu kila jumapili
Moyoni mwiba nahema kwa shida, penzi msiba linaniliza mimi ehhe
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeah
Iyeelele lile, naimani nitakutana nayeyeee ahahhha
Siku nikifa nizikwe na picha yake iyeeeelele
Lile, naima huko tutakuwa wenyewe rararararaaa
Ra ra ra raaa wowooowoo rararraa uhuuuhuuu rarararaaa iye iye iyeee
Sirali baridi ucku natetemeka na mbaya zaidi rafiki wananicheka
Sirali baridi uck natetemeka me najitahidi ila sihishi kusononeka
Mnhhh
Ona mawingu yamepambwa kwa rangi
Nzuri, sio mimi wala wewe ni mungu mwenyewe
Akaumba jua na mbingu
Na mapenzi kama kivuli tujifiche mimi
Na wewe sasa mbona unaniacha mwenyewe
Wahenga walisha sema ukipewa kilema unapewa na
Mwendo, ila kwangu si neema... yani sisimizi kumuua tembo
Ohhohh chanda chema limebaki neno hakuna matendo
Nilipolenga nimetemwa, moyo umekosa malengo mama ahah hahaa
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeeee iyeelele lilee
Naimani nitakutana na yeye
Siku nikifa nizikwe na picha yake, naimani huko tutakuwa wenyewe
Sirali barid uck natetemeka na mbaya zaidi rafiki wananicheka
Sirali baridi uck na tetemeka me najitahidi ila siishi kusononeka