menu-iconlogo
huatong
huatong
wakadinali-huu-kijana-cover-image

Huu Kijana

Wakadinalihuatong
morrisdierickhuatong
Liedtext
Aufnahmen
Yoh, all along all along wanaliutifin east

Hizi streets huu kijana

Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi

Na hatubanji area jamo na hatujuani

Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo

Na hii pose inaglow huu kijana

All along all along wanaliutifin east

Hizi streets huu kijana

Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi

Na hatubanji area jamo na hatujuani

Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo

Na hii pose inaglow

Ha, ha, tangu zile vako those days

Hata nakunjiva still na bado wako njeits

Ha, no filter nikikemba menje

High school nilikuwanga Dr. Mwenje

We jua, ah, uko nje

Ndio nijiumize kichwani labda finje finje

Aaay, hii ndio life ya jiji

Mnguna ka ni poko halali kwa baridi

Nditni, speedy, mristi, mdigi

We ain't kidding kwani we ni chizi nini?

Blinking nini, bling bling mingi mangiri nikro denge danger dingy

Uh, God bless the king, long live the queen

Sky larkin' bila Clarks mi si Aladdin

Zozanga bad B kama kawa mi ni zing

Dr. Ring ding brrr this daily thing

Yoh, all along all along wanaliutifin east

Hizi streets huu kijana

Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi

Na hatubanji area jamo na hatujuani

Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo

Na hii pose inaglow huu kijana

All along all along wanaliutifin east

Hizi streets huu kijana

Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi

Na hatubanji area jamo na hatujuani

Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo

Na hii pose inaglow huu kijana

Kama kawa tunajituma kwa sana

Hatununui ganja tunaichuna kwa shamba

Msupa wangu anakuwanga kagangster

Akicheki mambang'a anasundaga kwa haga

Tunaweza kukutuma we fala, huu kijana amekuja ni kama

Ametumwa ubaya, si hatunanga haya

By the way, mi na msupa wako hatujawachana

Baada ya mboka hio ganji nijenge

Nakuja na mboga ongeza maji sembe

Walijaribu kutukazia tenee, ni warazi munaweza kalia kende

I keep fighting usiku na mchana mi ni viking

If I die I go to Valhalla

20k kwa ma Adidas sijavaanga, beef kibao inafanya nadai vana

Yoh, all along all along wanaliutifin east

Hizi streets huu kijana

Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi

Na hatubanji area jamo na hatujuani

Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo

Na hii pose inaglow huu kijana

All along all along wanaliutifin east

Hizi streets huu kijana

Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi

Na hatubanji area jamo na hatujuani

Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo

Na hii pose inaglow huu kijana

Huu kijana ako lit, huu kijana ni riet

Huu kijana ako biz, time yake usiiwaste

Thor alinishow "what you see is what you get"

Chenye naeza lose today by tomorrow naeza iget

Slave niligraduate sai nafanya master's degree

Fanya bidii ndio uachieve ka mi

Ficha kila kitu tenje, njuta, shati hadi bling, eh

Jif-jif-jifanye maskin'

High sana kama Titus Naikuni

Mi ndio aliniachia nihead Project Mawingu

Uh, uh boomerang niliacha iende ikarudi

Flight 420 ilibidi nicatch by saa kumi

Unanimezeshea ukinimezesha hizo vitu

Ice bloody nyekundu nakaa vampire usiku

Ka uninitaja, ka uninitaja, ka uninitaja riu

Mehr von Wakadinali

Alle sehenlogo