menu-iconlogo
logo

In Case You Don't Know (feat. Nyashinski)

logo
Lyrics
Ni maradufu

Upendo wako umenifaa n ni

Ni maradufu yeah yeah

Uwepo wako umenitawala

Nikiwa peke yangu bado (bado)

Sijakamilika(Bado)

Hata mipango yangu (bado)

Inavurugika ahhh

Hakuna anaezidi kwako mamaaah

Nguvu ya mapenzi yako Balaah

Umenifanya nijione bora

Bila weeh mi siwezi ng'ara

Hakuna tena zaidi yako mamaaah

Nguvu ya mapenzi yako balaaah

Umenifanya nijione bora

Bila we mi siwezi ng'ara (noooh nooooh)

In case you don't know

Ntacheka nawe ntacheza nawe ntaimba na wewe

In case you don't know

ntaringa naye ntakwenda nawe popote my baby

In case you don't know

Ntacheza nawe ntaimba nawe ntakwenda na wewe

In case you don't know

Ntacheza nawe ntaringa nawe iyeeeh

In case you don't know

Inaweza kuwa fresh kama una time twende mahali out

Au ka inachosha usimind nnaweza nkakua couch

Nitry kukuimpress ata smile baby angalau

Na tunatesa hii town tunairun wallahi

Mahater wanakesha wakitry kubring huyu lover down

Usikuwe na pressure sit down let me run my mouth

Isikuogopeshe ikisound ka wedding vows

Tumia location u come mahali pia tu lounge

Night iko special surround sound movie louuuud

Do be loud si huwa loud ata bila party(It's a party for two)

My mission is to always stay true

Live to see my dreams come true with you

oooh ooh ohh ooh ooh ooh

I smell the wine on your press

Then you turn around and wine by yourself for me

You gaht me trying to resist

I pay no mind to the rest

Na nakuanga nmekumind your the best for me

You pretty bum look now you make me love you

Now let me remind you I tell you

In case you don't know

ntacheka nawe ntacheza nawe ntaimba na wewe

In case you don't know

ntaringa nawe ntakwenda nawe popote my baby

In case you don't know

Ntacheza nawe ntaimba nawe ntakwenda na wewe

In case you don't know

ntacheza nawe ntaringa nawe iyeeeh

Nasema miii najivunia kuwa na weeh

Kwa furaha unayonipa nipa darling

Oooh ooh

Nasema miiii najivunia kuwa na wewe

kwa furaha unayonipa nipa babyyy

Weeeeeh

In case you don't know

Ntacheka nawe ntacheza nawe ntaimba nawe

In case you don't know

ntaringa nawe ntakwenda na we popote my baby

In case you don't know

ntacheza nawe ntaimba nawe ntakwenda na weeh

In case you don't know

ntacheza nawe ntaimba nawe iyeeeeh

In case you don't know!

In Case You Don't Know (feat. Nyashinski) by Jux/Nyashinski - Lyrics & Covers