menu-iconlogo
logo

As Long As You Know

logo
Lyrics
Hauna furaha

Haifichi sura yako

Najua una mpenzi unampenda ila moyo wako haupo hapo

Unapata karaha

Unatunza utu wako,mmmh

Labda unajiuliza kwanini naitaji namba yako

Ila sio lazima nikipiga simu upokee

Sio lazima message zangu majibu yarejee

Nasema sio lazima mi na we tukae tuongee

Ila ukipata mda maji yakizidi Unga nipigie

Ili mradi unajua,aiyeee aaiye aiyeee×4

As long as you know×2

Wanasema joto likizidi unapoza na maji

Ila changamoto zinapozidi unakosa Amani

Kuna mda uu mpweke hujiwezi,unachukia na mapenzi

Kwanini ufe na kitanzi wakati mimi nipo na ipo wazi

Sio lazima nikipiga simu upokee

Sio lazima message zangu majibu yarejee

Nasema sio lazima MI na we tukae tuongee

Ila ukipata mda maji yakizidi unaga nipigie

Ili mradi unajua,Aiyeee aah aiyee×4

As long as you know×3

Usikose Amana

Mama usijitese

Mumy mumy mumy

Faraja yako ipo

Mumy usikose

As Long As You Know by Jux - Lyrics & Covers