menu-iconlogo
logo

Na Sijanona - Taniua Movement

logo
Letras
Sijai kosa mimi appetite

Nakuanga daily na kisyke

Ata tumbo iende hunger strike

Bora tu nione food on site

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona na nikinonaa

Sa imagine nikinona

Daily nikiakisha ngwai minyoo inaanza kunidai

Stori mingi mi sidai

Na ka unapenda food nakulike

Nikishiba tu mi hufrahi

Kwanza ikue kakuku fry Jesus Christ aki ntashy

Maadui aki wananitry

Kama hakuna food staki chai

Mi njaa yangu haipunguzwi na mangyai

Leta inamatch na hii na ikuje hapa kama suit and tie

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona na nikinonaa

Sa imagine nikinona

Hapa ukileta sembe itakulwa (iligulwa)

Na ata ka ni wimbi itakulwa aligula)

Lakini hatunoni ni kama tukirogwa

My guy all in all waligula

Treli ikipita hapa lazima nipigwe mbili

Na kwanza ziekwe kachumbari na kapilipili

Nalipa na mpesa soo wapi tilitili

Nah hii mwaka napanga kuirukisha na wawili

Wanene wakonde mimi sichagui

Kuna kuku mi hubonyanga hapa ndani ya buibui

Kuna mende ilipitanga hapa ikienda kitui

Ukiuliza rende yangu niko waoi haijui

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona na nikinonaa

Sa imagine nikinona

Weuhh

Na sijakonda sa imagine nikikonda

Siku hizi naenda gym

Sema kujichocha ndio nikue mslim

Nakunywa cocktail ya skuma na spinach

Kwa ile harakati ya kutafuta six pack

Hata leo lunch nilikula carrot

Staki calories we kula carrot

Masit up ni kujitesa

Siku hizi naskia uchungu nikicheka

Nawacheka na nimenona

Ebu sa imagine sasa nikikonda

Nimeenda gym mwezi mzima

Na kila mara kilo nikipima weeeeee

Na sijakonda na sijakonda na sijakonda sa imagine nikikonda

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona sijanonaaa

Na sijanona na nikinonaa

Sa imagine nikinona

Na Sijanona - Taniua Movement de Exray Taniua/Mejja/Odi Wa Muranga - Letras y Covers