Hook & Chorus
Yoowh
Maisha ikikushinda usijali bro
Mapenzi ikikushinda we kiubali inabore
Ni haraka haraka tusipoteze wakati
Na ukitafuta wa kumarry
Oa jane x4
Nani oa jane
Jane Oooh
Mary jane
Oa jane x4
Nani oa jane
Jane Ooooh
Mary jane
Verse 1
Ghafla bin vu vu vu
Ka sikuchekeshi usiwahi dhubutu
Nikona kutu kiumena kutu
Mateke na ngumi apa kumpangtwang
Shado mado yowh kikchwa kubwa
Nikona kingine kwa bed na kita vutwa
Tunkikula usiku mpaka tena kutwa
Tunakinukisha alafu nyinyi mtanusa ha
Jiekee kiberiti mambo ya ndoa kwangu inakuwanga fifty fifty
Sahi bei ya pampers imeshinda ya simiti
Ata siamini yaani ata usiamini
Hook & Chorus
Maisha ikikushinda usijali bro
Mapenzi ikikushinda we kiubali inabore
Ni haraka haraka tusipoteze wakati
Na ukitafuta wa kumarry
Oa jane x4
Nani oa jane
Jane Oooh
Mary jane
Oa jane x4
Nani oa jane
Jane Ooooh
Mary jane
Verse 2
Mandee aendelee kuabstain
Me aki shanicheat ajaribu kuexplain
Siezi maintain me ata aniblack mail
Iyo iko kwa damu amefanya in vain
Mwambie me niligeuka ben 10
Natembea wamama and I roll like men
Am here for the paper me I play no game
And am here for the best juu aih
Ujana ni moshi sa kwa nini anajifanya
Kaa si marijuana huskii tungejuana
Me nikiamka najua mpaka ninyanye
Najua kuna mapedi hapa lazima ni hanye
Hook & Chorus
Maisha ikikushinda usijali bro
Mapenzi ikikushinda we kiubali inabore
Ni haraka haraka tusipoteze wakati
Na ukitafuta wa kumarry
Oa jane x4
Nani oa jane
Jane Oooh
Mary jane
Oa jane x4
Nani oa jane
Jane Ooooh
Mary jane