menu-iconlogo
logo

KO

logo
Letras
Sipendi nikibebwa wana

Mi utanikatsia ukianza za umama

Mi hukua mpole but naeza kua mnyama

Naeza kuzima kileft, kiright

Ulinichocha we ni heavyweight

Ona umeKO

We ni champe huezi zima

Sa mbona umeKO

Hizi vitu hupiga everyday

Kamoja umeKO

Ona sasa umezima

Saa moja umeKO

Ulinichocha we ni heavyweight

Ona umeKO

We ni champe huezi zima

Sa mbona umeKO

Hizi vitu hupiga everyday

Kamoja umeKO

Ona sasa umezima

Uuuuh haaa

Oya pass kindukulu

Pedi ni wepukhulu

Naririma mdagi chini ya maji

Niko mmwikulu

Mbosho na salasa

Jaba,raba na katululu

Dj hapatikani anamedi

Ako sululu

Matire na ni zile

Zinalipuka ka baruti

Saa kumi dakika twenty

Fitu sita ndani ya kaburi

Santuri instead ya karoli

Shuksha nipe callories

Nyi mnachoma nyaru managu

Mi zangu broccoli

Shukisha shukisha mdogo

Funika kisogo alafu

Tingisha msondo

Tuliza tuliza mdogo

Puliza kikoro alafu rudisha mkono

Leo uskii niko madawawawa

Niko fly niko mabawawawa

Staki io yako umegawawawa

Taka ile mpya nskie wawawa

Aaaishalala after umekiwasha

Ushalala leo sko maziwa

Niko mala naeza nionea

Uone balaa oooh

Oka kamnyweso leta zotezote

Oka kamnyweso napiga mpaka zigzag

Oka kamnyweso niko kotekote

Oka kamnyweso nafinya mpaka rewind

Ulinichocha we ni heavyweight

Ona umeKO

We ni champe huezi zima

Sa mbona unaKO

Izi vitu hupiga everyday

Ka moja umeKO

Ona sasa umezima

Saa moja umeKO

Ulinichocha we ni heavyweight

Ona umeKO

We ni champe huezi zima

Sa mbona unaKO

Izi vitu hupiga everyday

Ka moja umeKO

Ona sasa umezima

Saa moja umeKO

Lightweight wa makali

Heavyweight wa mabangi

Heavyweight wa majani

Lightweight wa makombi

Sikudishi nyama nilisosi sossi

Nami ndo nlikata kuliko kikosi

Nableki aje faster kuliko hawa madem

Nasare madre mi sidai kua dead

Mi si member again

Narefform arif ukipata fom

Enda solo usincall again

Ulinichocha we ni heavyweight

Ona umeKO

We ni champe huezi zima

Sa mbona umeKO

Izi vitu hupiga everyday

Kamoja umeKO

Ona sasa umezima

Ulinichocha we ni heavyweight

Ona umeKO

We ni champe huezi zima

Sa mbona umeKO

Izi vitu hupiga everyday

Kamoja umeKO

Ona sasa umezima

Saa moja umeKO

Outro

Its bryon baby

KO de Exray Taniua/Trio Mio - Letras y Covers