Sina makosa afande uniwie radhi
Nimetoka kuimba
Na kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na
Sijachukua nyingine
Na sijakataa kosa nililofanya ah
Sijakataa kitambulisho sina
Sijakataa chini nimeshaketi
Usiniseti afande usiniseti afande
Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you hey you
Natambua kwamba huna kosa ulilofanya eh
Kitambulisho hicho hauna
Nikufanyeje
Mapato yangu ni madogo nategemea kidogo
Ni kazi yangu ujira wangu
Hujakataa kosa ulilofanya
Hujakataa chini umeshaketi
Hujakataa kitambulisho huna
Nitakuseti raia fuata sheria
Aaaah
Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you hey you
Umezoea kuchelewa siku mingi
Nimekulenga
Naona watuzoea mmmmh
Kuanzia leo mi nakuonya ujichunge
Ama nitakuweka ndani weeeee
Hujakataa kosa ulilofanya
Nakuonya heee mwananchi wewe
Nitakuacha leo uende nyumbani
Onyo kwako wee raia wee
Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you hey you
In the blue uniform
In the blue uniform
In the blue uniform
In the blue uniform
Hey you hey you
Hey you hey you
Hey you hey you
Hey you hey you
Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia analia
Hey you hey you
Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia analia
Hey you hey you
Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you hey you