Me niliambiwa mapenzi ni kama bahari
Ukishazama ndo basi umepotea
Kumbe mwenzangu alikuwa na ta
Badala ya kuzama me kwangu akaelea
Akawa
Ananidanganya
Nikiwa
Nadhani ananipenda sana sana
Mikwanja nikamwaga mama
Japo sio kivile akaw giamanna
Akawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mbona mifedha nikamwaga mama
Japo sio kivile akaw giamna
Wakaja wajinga
Wakamchukua
Wakamhonga honga mwisho wakamnunua
Wajinga
Wakamchukua
Wakamhonga honga mwisho
Wakamnunua ayayayayaaaa
Usinione nalia
Usinione nalia
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Najua alimaanisha kuwa simfai
Ila lakini angesema
Kuliko alichofanya me akantoa
Nishai
Akanimeza akanitema
Nyie mapenzi yanauma vibaya
Vibaya
Vibaya
Mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya
Vibaya
Vibaya
Ilagaf safari
Ndo inanifanya mi usingizi sipati sipati
Huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia
Harufu yake ya marashi
Me kwa uchungu nilivyoumia
Katika hili songi napum
Nalia
Nafuu kwangi hisia naimani
Iko siku nyimbo itamfikia
Me kwa uchungu nilivyoumia mie
Katika songi napum
Nalia
Nafuu kwangi hisia naima ni
Iko siku nyimbo itamfikia
Ayayayaaaa
Usinione nalia usinione nalia
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Usione nakosa raha mama nalalama
Kwako mara kadhaa
We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa
Na hilo unajua inavyoumiza
Ushashuhudia mara kadhaa
wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie
Njia yetu moja niache nipite si ukasimulie
ya kinyamwezi na swaga zako juu
Na miguu napata picha kitandani kungfu
Uko juu ukipita lazima wasome namba
We ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
Huu ndo mfano hata unajua neno pamba si
Kwa kitambo ntakulinda kama
Mkinga mwenye shamba
Mikogo kila leo ntajigamba
Lusu su ode ekke
Kisela piga teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke eeeh bounce
Usinione nalia usinione nalia
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Ah ah ah ahaha
Ah ah ah uhhh
Oh oh oh ahaha
Ahaaaa