menu-iconlogo
logo

Ex Boyfriend

logo
Letra
Leo nakula kwa macho

Nguvu ya kusema sina

Maneno ya mipasho

Na jeuri vimeshazima

Nilishafuta namba zako

Nikachoma picha zako

Sikujali ulivyolia

Mbele ya mashoga zako

Nikasema uende zako

Nguo nikakutupia

Na zaidi uliuguza vindonda

Kwa vipigo manyanyaso kila siku

Kwa mawazo ukakonda Niko bussy kuchiti

Nafungua zipu

Ulinibembeleza nikakubeza

Unanuka na nikatukelekeza

Macho makengeza miguu ya pweza

Kuwa nawe nkasema niliteleza

Leo unapendeza wamekutengeneza

Wanaume wenye mali wenye fedha

Sasa unajiweza na siwezi kujikweza

Najutia nafasi kuipoteza

Leo aibu yangu

Ex boyfriend

Siiti tena honey baby jina langu limekua

Ex boyfriend

Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua

Nawaza nilifeli wapi kusema sikutaki

Sura ya baba na kitambi cha makapi

Sasa unamtanashati bitozi tena smart

Mtu wa gym tena ana six-pack

Mi nipo juu ya bati

Sina mikakati

Ghetto mwendo chai na chapati

We ushahama mburahati

Una nyumba masaki

Mnachoma nyama kila siku party

Ushanipiga mikuki

Insta mi sifurukuti

Mambo ya gauni suti

Mkifanya photoshoot

Mapenzi hayana commando

Mwenzako unaniuma roho

Natamani nikuite njoo

Turudi kama before

Kumbe shape ilijificha kwenye dera

Hizo skin-jeans mama zinakera

Utaniletea kadi kwenye machela

Siku wakikuvalisha shela

Na ulinibembeleza nikakubeza

Unanuka na nikakutelekeza

Macho makengeza miguu ya pweza

Kuwa nawe nkasema niliteleza

Leo unapendeza wamekutengeneza

Wanaume wenye mali wenye fedha

Sasa unajiweza na sio najikweza

Najutia nafasi kuipoteza

Leo aibu yangu

Ex boyfriend

Siiti tena honey baby jina langu limekua

Ex boyfriend

Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua

Ex Boyfriend de Rayvanny – Letras & Covers