menu-iconlogo
logo

Wasiwasi

logo
Letra
Upepo Mwanana

Nawe upo kifuani mwangu

Jua likizama

Mikono salama

Karibu kwenye moyo wangu

Mi baba uwe mama

Aaaahhhh!

Zima taa washa mishumaa

Nilishe kama na njaa

Haaa! Haaaaaaa! Haaaa!

Kila dakika kila masaa

Palilia Penzi litasinyaa

Haaa! Haaaaaaa! Haaaa!

Sura yako macho yako

Upole wa mama yako

We chaguo langu

Mamaaaa Aaahh!

Taswila yangu picha yako

Moyo wangu mali yako

We chaguo langu

Mamaaaa Aaahh!

Wasiwasi

Mwenzako sina mbona niko na wewe

Wasiwasi

Tunza heshima niwe nawe milele

Wasiwasi

Uko na miiimi usiwe na wasi

Wasiwasi

Uniamini usiwe na wasiwaa

Ntakuganda ruba

Pua na lesso tufatane

Mahabuba tuwe mapacha tufanane

Wenye husuda na wakiroga tutengane

Ongeza rutuba nije na pete tuoane

Supu chuku chuku miguu ya vikuku

Ayah! utauwa eehh! (Utauwa eehh!)

Nahema nusu nusu ukinibusubusu

Ayah! maua ehhh! (Maua ehhh!)

Sura yako macho yako

Upole wa mama yako

We chaguo langu

Mamaaaa Aaahh!

Taswila yangu picha yako

Moyo wangu mali yako

We chaguo langu

Mamaaaa Aaahh!

Wasiwasi

Mwenzako sina mbona niko na wewe

Wasiwasi

Tunza heshima niwe nawe milele

Wasiwasi

Uko na miiimi usiwe na wasi

Wasiwasi

Uniamini usiwe na wasiwaa

Wasiwasi de Rayvanny – Letras & Covers