menu-iconlogo
huatong
huatong
nyashinski-night-school-cover-image

Night School

Nyashinskihuatong
wemmerennhuatong
Şarkı Sözleri
Kayıtlar
The greatest

Yeah

Wako night school, wananistudy show nikipiga

Come through kuna maombitho time ikifika

Niku-light tu na kama iko mtu anauliza

Niko "Hi too" kaa mnairobi akisalimika

Kuongeza feelings kwa plan yu fanya akili inajam

Naingia venue na van, natoka venue na bag

Daily nacount blessings, hauwezi jua day yenye tables huturn

Na-rap na hunger ya upcoming

Ata kaa hapa ni mi ndo nakaa mdhamini

Nani ka mimi?

mambo mbaya, maverse mambo mbaya

Na bars na go harder than drugs

I am larger than life, family

Wanaota vitu nishafanya twice

Au nilishapata chance ni vile nili-analyse value nikachorea

Kitu huangalii Mr., your favorite wants a picture with Shin Da Vinci

Siri nimeeka mingi, kwa hii (Shin City)

Tunaspeak in code lakini tunaelewana

Unajua mi si wa kujaribiwa

Niheshimu utaheshimiwa, haribu utaharibiwa

Mjinga ndo upandisiwa

Finger ni ya kati kati kwa wale wanapinga

Najibanza chini ya maji nikipanga mikakati

T-shirt ni Versace, reverse hatuendangi

Mi saa nakula ka musician na si ju ya illuminati

Na si kukam kudilly dally, ju kusota yu ni piss off

Ka inanice, round hii sichagui na price

Cheki vile natupa madice kwa hii casino inaitwa life

Ulisema siezi rudi, si unafaa uapologise

I did it once, did it twice hio sitaacha uminimise

Na shift culture kila saa na move (Shin City)

Usiogope, au sio

Already ju ukona mimi hapa future ishaimprove (Shin City)

Nyashinski'dan Daha Fazlası

Tümünü Görlogo

Beğenebilirsin