menu-iconlogo
logo

One Night Stand (feat. Harmonize)

logo
Lời Bài Hát
Lalalala

Aiyete iyeee

Konde Boy

Mi baba yangu sio Magufuli

Ama Kenyatta wa Kenya

Nikudanganye Mugabe

Ni uongo sio sawa

Hata nyota yangu mi ni ya sufuri

Sio wa kupata tena

Kula yangu tu mazabe

Sina mchongo kama chawa

What I believe, what I believe

No money no love

Yupo ulompaga moyo

Akaugawa vipande

Nimeumbwa na wivu

Mi na wivu moyo wangu sio mbovu

Hakuwaga mchoyo

Kutwa miguru upande

Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay

Masong kwenye majani (Ayee eh)

Utaweza mwana wa Mondy

Amemshinda sharukani (Ayee eh)

Agiza nyama na pombe

Ah tulewe twende chumbani (Ayee eh)

Nikupe mhogo wa jang'ombe

Kisigino kiwe begani

Baby all I need mi siwezagi kuzunguka

One night, one night, one night stand

Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka

One night, one night, one night stand

Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda

One night, one night, one night stand

Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja

One night, one night, one night stand

Usijidanganye umemkamata

Mtoto wa mjini

Magoli mengi Samata

Hata uzame chumvini

Ila kuna wazee wa Migodi

Hawagongagi hodi

Ujifanye mjanja unachunga

Ila ndo wanalipa kodi

Utadanganya anaenda jogging

Kumbe yuko lodging

Mwenzako anajaza mimba

Uko gym unajaza body

What I believe, what I believe

No money no love

Yupo ulompaga moyo

Akaugawa vipande

Nimeumbwa na wivu

Mi na wivu moyo wangu sio mbovu

Hakuwaga mchoyo

Ah, kutwa miguru upande

Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay

Masonge kwenye majani (Ayee eh)

Utaweza mwana wa Mondy

Amemshinda sharukani (Ayee eh)

Sio unakunywa tu mapombe

Unajua anayelipa nani? (Ayee eh)

Twende nkakupe guu la ng'ombe

Ukaugulie nyumbani chii!

Baby all I need mi siwezagi kuzunguka

One night, one night, one night stand

Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka

One night, one night, one night stand

Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda

One night, one night, one night stand

Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja

One night, one night, one night stand

Asa beiby nipe (Nipe nikupe)

Acha za kung'ata makucha (Nipe nikupe)

Mara unapandisha unashusha (Nipe nikupe)

Mida inakwenda (Nipe nikupe, tumalizane leo leo)

Eh mbuzi kafa kwa bucha (Nipe nikupe)

Mbona saa unayeyusha (Nipe nikupe)

Ukichelewa nitasusa (Nipe nikupe)

Hebu sogea kwa chamber (Nipe nikupe, tumalizane leo leo)

One Night Stand (feat. Harmonize) của Ibraah - Lời bài hát & Các bản Cover