menu-iconlogo
logo

Kwaru

logo
Lời Bài Hát
Ayo Laizer

Aaaaaaahhh

Aaaooaaah aah

Roho ingekua na macho ingejionea

Moyo haufanyi kificho ukiotea

Mimi kipi nisonacho ungeongea

Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea aah

Chungu nilichopika wamepakua wenzangu

Huruma napukutishwa

wamechukua donge langu

Na kitabu changu cha mapenzi

ukurasa umechana chana

Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana

Mpoofu moyo wangu

Ulishindwa oonaa

Hukuandikwa wa kwangu

Limenikaba nalitemaa

Kwaru kwa kwaru kwaru

Kachukua kisoda anaukwaruaa aah

Kwaru kwa kwaru kwaru

Moyo wangu unaumia aah

Kwaru kwa kwaru kwaru

Ye kwa nguvu ana ukwaruaa

Kwaru kwa kwaru kwaru

Jamani moyo wangu unaumia aah

Langu tatizo na chunda najimaliza

Mi nakesha kumuwaza

Na weweseka lake jina oooh jina

Basi kwa unyonge najikaza niache kulia

Maana kwake bahati sina (oooh sina)

Maumivu ameipora furaha yangu (uuh)

Amekwenda nayoo

na Zangu mbivu zimeniozea

hasara kwangu (oooh

Yatapita hayo

Mpoofu Moyo Wangu ulishindwa ona

Hukuandikwa wa kwangu

Limenikaba nalitemaa

Kwaru kwa kwaru kwaru

Kachukua kisoda anaukwarua aaah

Kwaru kwa kwaru kwaru

Moyo Wangu unaumia

Kwaru kwa kwaru kwaru

Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua

Kwaru kwa kwaru kwaru

Jamaniii moyo wangu unaumia

Wasafii

swahili heritage.