Mmmh
Lalala mmmmh
Lalala (Ayo Laizer) mmmmh
Lalala mmmmh (Nusder)
Yaani kwa sauti, kasema deka, deka
Na mimi najiachia
Kanipa shuruti la kumteka, teka
Silaha kanigawia
Mbezi kimara, hunipeleka peleka
Mpaka mwisho hashuki, hashuki
Kiungo imara hunipenyeka penyeka
Kwa ya nguvu mashuti, mashuti
Aaahhh
Kaniweka darasani, kunifundisha vizuri
Mengi hayajulikani, yataka kuyakariri
Kanichorea ramani,
kopa lenye nyingi siri
Nyekundu nje na ndani,
rangi yake zingifurii
Raha, kupendwa raha
(mmmhh kupendwa raha)
Raha, jamani raha (Naona raha)
Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha)
Raha, jamani raha
Eti niende msituni, zaralinge
na mate pwi nikamroge
Abadan, oooh abadan
Penzi lichanje mizaituni,
kwaviringe na kuzikiri linoge
Oooh Abadan, oooh abadan
Mmmmh
Vineno vya kisirani
Kafumwa na mwafulani
Mweupe mara kijani
Linawahusu nini?
Vipimo viso mizani
Kutwa kwenu midomoni
Timewakaa vichwani
Mtumezee kwinini
Oooooh
Ndege ya asili ya buga,
kufugwa hawezekani
Mithili akivuruga, akaumbiwa kutamani
Atenda tafuta boga, japo tama libandani
Enda tenzi sina woga, atarejea ngamani
Raha, kupendwa raha (kupendwa raha)
Raha, jamani raha (Naona raha)
Raha, kupendwa raha (oooh kupendwa raha)
Raha, jamani raha
Ah ah
Waaasaaafiii