menu-iconlogo
logo

Mwambieni

logo
Lời Bài Hát
Mhhh mh mh

Mhhh mh mhhh

Mhh mh mh

Mhh

Eeeeeh kaja omba nirudia

Kazirejesha salam

Zamani kakumbukiaa

Ameumisi utamu

Kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini

Mpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini

Heee mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Ahaa apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Hehee! mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Aha apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Weeh! kabaki mbe (Mbe arijojo mbembe)

Hatarii mbe arijojo mbe

Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)

Yuko chalichali mbe arijojo mbe

Mbe mbe mbe

Alidhani ameniadhiri

Alidhani amenikomoa

Mungu akanipa msitiri

Alonipoza nikapoa

Aah! penzi kalijaza ndindindi

Kanimwagia mwemweremwemwere

Pole ya kwako kidingi

Wa kudandia ngenderengedere

Simu za usiku wa saa sita (Aka staki)

Kuni dm insta (Aka staki)

Kutwa kujikomentisha (Aka staki)

Kujitumisha vipicha (Aka staki)

Hee mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Aha apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Hehee mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Aha apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Weeh! kabaki mbe

Mbe arijojo mbembe hatarii

Mbe arijojo mbe

Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)

Yuko chalichali mbe arijojo mbe

Hee kabaki mbeee (Mbe arijojo mbembe)

Si wa mbele wala nyuma (Mbe arijojo mbe)

Si wa kuvutwa sukuma (Mbe arijojo mbembe)

Inakuuma eeeeh (Mbe arijojo mbe)

Twende kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti

Kikiti kikiti

Kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti

Kikiti-kikiti

Twende bah

Skoroba bah yani bah

Yani bah skoroba bah

Yani bah aweeh

Hahaaaaa

(Kamixlizer)

Mwambieni của Zuchu - Lời bài hát & Các bản Cover