menu-iconlogo
logo

Sukari

logo
Lời Bài Hát
Eti nimemlambisha ananambia chombezaa chombeza

Tena nikiizidisha ananambia kolezaa koleza

Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa ongeza

Japo imesibitishwa ila itampoteeza aaa

Ikipanda ni balaaa naogopa

Ikishuka ndo hataali naogopa

Asije pata madhalaa naogopa

Akaikosa na hali naogopa

Radha yake msalaa naogopa

Shila ya kizanzibar naogopa

Nami simpii mi walaa

Akitaka nampa

Ai su kaari nampatia

A Suger sukari nampatia

Su kaari nampatia

A Suger sukari nampatia

Su kaari nampatia

Suger sukari nampatia

Su kaari nampatia

A Suger sukari nampatia

Na akilia njaa

Njuu njaa sifanyi ajisi

Namjazia jaa

Juu jaa na vitangawizii eeeh

Baba chanja baba chanja e eeeeh

Chukua vyote chukua kulaa

Vitafune nganjanganja e eeeeh

Chakua mwaya chakau kulaa

Ujibusti na karanga e eeeeh

Tuliza na kitumbua ila kulaa

Jiadhali na majanga wee

Usije ukaugua mana

Ikipanda ni balaaa naogopa

Ikishuka ndo hataali naogopa

Asije pata madhalaa naogopa

Akaikosa na hali naogopa

Radha yake msalaa naogopa

Shila ya kizanzibar naogopa

Nami simpii mi walaa

Akitaka nampa

Ai su kaari nampatia

A Suger sukari nampatia

Su kaari nampatia

A Suger sukari nampatia

Su kaari nampatia

Suger sukari nampatia

Su kaari nampatia

A Suger sukari nampatia

Nimloge kwanini kashanogewa daambua dambua

Udambu wa sukarini tamu kolea daambua dambua

A sema da dambua dambua

We dambua dambua

Alua aluaa dambua

We dambua dambua

A sema da dambua dambua

We dambua dambua

Inama kama unafuaa dambua

Kigulu nyanyuaa dambua

Ey

Sukari của Zuchu - Lời bài hát & Các bản Cover