Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani
Roho yanidadarika kashanitoka sheitwani
Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita nimekumiss jamani
Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe
Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie
Kweli mbaya halisi nawema hakosi ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Chozi dibwi dibwi nachanganikiwa
navilio sishikiki
Niko magharibi lizamapo
jua wewe upo mashariki
Zawadi vipochi vijuice
vipipi nazimiss chocolate
Nimekoma dear nilivyo
nyongea hubba zako sizipati
Tabibu kunikomesha
umepata toto la kitanga
Sababu umeichoka jeuri yangu ya kipemba
Lile gubu limeniisha kabisa
baby halimanga (aibu)
Wananicheka wajinga rudi nakuomba
Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe
Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie
Kweli mbaya halisi na wema hakosi ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nikikaa nawaza nimuingie kwa style gani?
Nimlilie niseme nnamimba
kasahau t shirt nyumbani
Nashindwa kujizuia uvumilivu
unanishinda kwanini
Nikimpigia kusudi zake akipokea
eti hellow wewe nani (iiih)
Na namba kakupa nani (iiih)
Mara aahh kumbe wewe unafanya
issue gani (siku hiziii)
Nimsanii anajua inamana
hanioni (kwenye Tv)
Aah ai wewe
Aah ai wewe