Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza(chombeza)
Tena nikiizidisha
Ananiambia koleza(koleza)
Nikitaka kusitisha
Ananiambia ongeza (Ongeza)
Japo imedhibitishwa
Ila itampotezaaa
Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)
Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi eeeh
Baba chanja baba chanja e (eeeeh)
Chukua vyote chukua (kulaa)
Vitafune nganjanganja e (eeeeh)
Chakua mwaya chakua (kulaa)
Ujibusti na karanga e (eeeeh)
Tuliza na kitumbua ila (kulaa)
Jiadhali na majanga wee
Usije ukaugua mana
Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)
Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Nimroge kwanini kashanogewa (daambua dambua)
Udambu wa sukarini tamu kolea (daambua dambua)
A sema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Halua haluaa (dambua)
We dambua (dambua)
A sema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Inama kama unafuaa (dambua)
Kiguru nyanyuaa (dambua)
Ey