logo

Sipangwingwi

logo
الكلمات
Aai Papi

Ssaru

Maisha ni yangu

We shughulika na yako

Napenda za kwangu

We shughulika na kwako

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Unataka mtu simple humble, rich young

Ndo upeane nambe

Unataka mtu dark, mlight mtall

Beb tafuta wababaz

Unaplan future yetu kumbe uko alone

Maisha ni safari mi na ride along

Labda mi niomoke nikuitage form

Ama labda we uomoke nikujage home

Mi nayo pombe siwezi onja

(Aii nakunywa yote)

Na akiamua kukupatia

(Aii chukua yote)

(Byron Baby)

Maisha ni yangu

We shughulika na yako

Napenda za kwangu

We shughulika na kwako

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mi sipangwingwi, kijana ni gwiji

Unapangaje morio ana kashilingi kwa wingi

Mafeelings za nini, mi ni jangili kamili

Nasanya mamdenge wa matajiri wa mjini

Samahani chai chumvi imejaza maziwa na majani

Sikusubi mi ni trio mio whatagwan?

Ka hunijui unajifanya bombo haja gani?

Abiria nawapanga ka makanga wa kasarani

Ama vijiti za kiberiti ndani ya boxdem

Huwanga sitishiki naget mabinti nawachokdem

Washa ngwariti tuskie fiti hadi shokdem

Cheza na mangoksdem

Maisha ni yangu

We shughulika na yako

Napenda za kwangu

We shughulika na kwako

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Ah mi sitambui mbui, mi mchana buibui

Nikiwa mababi mahali leta maruirui

Na niko na mashoga kibao nataka madui dui

Sitaki kifisi niko bongo nasaka chui chui

Ukitaka mizuka, mimi ndo hooker

Tena nagwara nikidara nina vikucha

Hiki kichupa shika na kupa

Na wanapenda ukipapia bada pupa

Naishi nitakavyo ondoa vikwazo

Ukiona najidai jua kujikopa ndo chanzo

Nikishika ngiri natesa na majigambo

Ju naona siku hizi ganji mnasafisha kwa mitambo

Maisha ni yangu

We shughulika na yako

Napenda za kwangu

We shughulika na kwako

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi

Mii sipangwingwi, sipangwingwi