logo

Mzimbiting

logo
الكلمات
Me hupenda maskinny

Me hupenda mabig siz

Me hupendaga invoice

Me hupendaga suprise

Me hupendaga indoors

Me hupendaga outside

Me hupend marasta, msupa

Me hupenda magangstar

Me huendaga hizi ati me hupendaga somethings

Me hupendaga hizi ati ye hupendaga dizings

Me hupendaga mchana ati ye hupendaga tu night

Ati me hupendaga isips ati ye hupendaga this side

Tangu last year me hushinda niko drunk

Juu ex wangu alinitext ako done

Na tangu last year me hushinda niko high

Juu ex wangu alinishow niko down

Tangu last year me hushinda niko drunk

Juu ex wangu alinitext ako done

Na tangu last year me hushinda niko high

Juu ex wangu alinishow niko down

Mzimbiting Niko matingz

Mzimbiting Niko mobilize weeh tumejipin

Mzimbiting Niko matingz

Mzimbiting Niko mobilize weeh tumejipin

Bunda na pe mimi

Ni kipee wa magiz

Ukiwasha madasha na siezi zunda wada

Juu watatoka trrr yaani siaka mbayaa

Me hupenda figa inchi marembez kuwa tichi

Pigwa ringiz me hungam tuko indiz

Kukuwa snitch lazima muniingizange deep in

Kuwa metea kila kitu iko kwa magda

Ndo wangurunyu wamezeme ni yule zingting

Kila jango nimemlazia headshot

Nduki zilikuwa ni za confirmation

Kuwakilisha si huwakilisha na dude

Nditni kusababisha mekafi

Tuna mangiso ya kuwa rianyu na tuna riambez

Yo hundape, me hunda nape mimi

Mimi

Mimi

Mimi

Mimi

Mimi

Wakugwaiiii siatulegeza kiriang′

Wakugwaiiii siatulegeza kiriang'

Mzimbiting Niko matingz

Mzimbiting Niko mobilize weeh tumejipin

Mzimbiting Niko matingz

Mzimbiting Niko mobilize weeh tumejipin

Yoh Micha

Me hupenda yenye nyi hupenda hamuwezi pata

Tuko gwedhe zi hupatch na kashaa

Mamodho tulichorea pin gi ni mashada

Mkiwolan na madada sisi ni kusaka baroda

Yoh, ulitokwa ukabondwa Nyanya wako kakasonga

Yoh, sahi umefurisha gwadu

Me hupendaga wale wamebeba manyu

Ah kama kawa ni mastingo kuwa rianyu

Walitryzex waka toka za kimanyu

Me hupenda wale wandaki kidale

Me hupenda wale kwenye ndaki me ndo palent

Apparently ni kingaso watang′am

Na apparently kingaso hawatajam

Na apparently walikuwa ka Saddam

Juu apparntly Mbogi genje nio riang'

Mzimbiting Niko matingz

Mzimbiting Niko mobilize weeh tumejipin

Mzimbiting Niko matingz

Mzimbiting Niko mobilize weeh tumejipin

Mzimbiting لـ Exray Taniua - الكلمات والمقاطع