logo

Doshi Ngumu

logo
الكلمات
Cheza na pongi wewe imekubali daily

Gashugwa kuja nikufanye machungwa

Aah taniua mmmh mmmh

Its byron baby

Mbebe sunakaa tu fine

Leta lighter nataka ushine

Niko na kidoshi kiko fine

Na pia kiko busy mi nashuku utanitime

Kadola sunakaa tu fine

Leta tenje nikueke tu fine

Unaniconfuse unanifanya nakua shy

Hapa nimetii adi nashidwa ka ni chai

Ulisema unataka doshi ngumu ama?

Unataka nono ama konda ama?

Unataka yoh ama odi ama?

Majirani hapa watahama

Usinieke bana maisha ngumu ama

Unataka mnono ama mkonde ama?

Unataka zuzu ama chopi ama?

Majirani hapa watahama

Taking me on date like dinner dinner

You take me out on your bima bima

Mi take your heart i make it on

Like your whole life

Invest Inna your man

Mi like it open for a bloodline

I fell in love with a criminal

Ever move around

Coz its cool like a criminal

So jump Inna the car sit

Come make we fuck in ur last scene

Come make we fuck in ur pub in ur dust in ur lap eeh

Come make we fuck in a pub in ur dust in ur lap eeeh

EXRAY verse

Stingo we unajua huskii inaitisha ganja

Ganja ooh ganja ganja ooh blunder

Uskii inaitisha adi ganja

Aah ulisema unataka doshi ngumu ama?

Unataka nono ama konde ama?

Unataka yoh ama odi ama?

Majirani hapa watahama

Eeh usinieke kwenye maisha ngumu ama

Unataka mnono ama mkonde ama

Unataka zuzu ama chopi ama

Majirani hapa watahama

We ni Dr love nataka vaccine

Juu place tume mate faxing

Vile itaniua officer ni crime scene

Zimenitarukia nimemeza taxin shiiieet

Niko billy blanks, nimeanza silly talks

Juu tu ya izi ma bars

Niko na swali umewai iba bank

Unaact on sana nika mimi ni rat

Sina keja biggy but huski naishi single

Adi cristmas sinanga wa kujiggle

Nili buy gari but huski sinanga jiko

Sikulangi pia viazi so siezi kukuchipo

Stingo we unajua huski inaitisha ganja

Ganja ooh ganja ganja ooh blunder

Uskii inaitisha adi ganja

Aah ulesema unataka doshi ngumu ama

Unataka nono ama konde ama

Unataka yoh ama odi ama

Majirani hapa watahama

Eeh usinieke kwenye maisha ngumu ama

Unataka mnono ama mkonde ama

Unataka zuzu ama chopi ama

Majirani hapa watahama

Cheza na pongi wewe

Imekubali daily

Gashugwa kuja nikufanye machungwa

Doshi Ngumu لـ Exray Taniua - الكلمات والمقاطع