Ah-ah! Mopao
Ndege kageuka bundi
(JM), oya wewe (on the track) ah-ah-ah-ah-ah (O Righty)
Mapenzi, mapenzi yalimtesa babu
Lakini bado aliweza survive
Labda nikupe habari sasa nimekua
Mambo ya kutesana nayajua
Hata utoke na danga (hujanikomoa)
Hata utoke na baba yangu pia (hujanikomoa)
Hata utoke na Dangote (hujanikomoa)
Hata ugeuke uwe cha wote (hujanikomoa)
Yanini kupenda ngende eti niende kuroga
Yani niforce unipende hatujazaliwa pamoja
Mapenzi miba seng'eng'e nikupashe shoga
Hauwezi kupanda embe lije kuota boga
Kwani kuachana shingapi
Kuachana bei gani
Kwani kuachana shingapi
Kuachana bei gani
Kwani kuachana shingapi wewe
Kuachwa bei gani
Kwani kuachana shingapi wewe
Kuachwa bei gani
Mapenzi sio mchezo yanaumiza zaidi
Inabidi uwe na pesa ili uyafaidi
Ndio mana sishangai ex wangu alinikataa
Wengine hawali kisa penzi wanashinda njaa
Mapenzi, mapenzi mchezo utaniuwa bure
Bora niwe single, nisije nikafanywa mi' msukule
Leo yupo kwangu, kesho kwa Juma oya
Maana siyawezi mapenzi yanauma
Kwani kuachana shingapi
Kuachana bei gani
Kwani kuachana shingapi
Kuachana bei gani
Kwani kuachana shingapi wewe
Kuachwa bei gani
Kwani kuachana shingapi wewe
Kuachwa bei gani
Anatumika yuko busy, achana nae
Anadanganya anacheat temana nae
Maana mapenzi ukaidi
Wenye pesa ndio wanafaidi, oh
Wadada wa mjini siku hizi wanapenda pesa
Kama hauna watakupelekesha
Ndio maana nachuna naona bora kuvesha
Kama ufundi kakapeleka VETA
Kwani kuachana shingapi
Kuachana bei gani
Kwani kuachana shingapi
Kuachana bei gani
Kwani kuachana shingapi wewe
Kuachwa bei gani
Kwani kuachana shingapi wewe
Kuachwa bei gani
JM baba, I'm London boy
It's D Voice Genie, I wanna be there the boss
Msalimie Jumanne, Jumanne the boss
Wa the Willy Maz, Sele yoh (all wide intellect)
Msalimie bosi Max
Wape wanangu wa Kenny controller, bosi Msuva
Awe meneja Abuu, Zura kacha (Killer)
Kwani kuachana shingapi