menu-iconlogo
logo

Nimezama

logo
লিরিক্স
Hhm! Habibi nikuulize swali

Kipi cha kukuongeza

Kama unaona bado sema kilichopungua

Vingine vyote tayari madeko kunidekeza

Umeniwezea haapo chali mi ushaniuwa

Penzi lako mradi naweza kuuulikopea

Mamlaka yenye kodi watudai na fidia

Aah! Maana raha zimezidi paka zanimwagikia

Hhhhmm! Maana raha zimezidi paka zanimwagikia

Ufukweniiiii

Ufukweni mwa bahari aaah! Mikono

Mikono tumeshikana aaah! Mawimbi

Mawimbi yameshamiri

Nyoyo ziiime! Nyoyo zimesemezana

Kwako nimezama

Kwako nimezama

Kwako nimezama

Kwako nimezama

Aah! Upande kanga ukinivalia

Kiunoni shanga zinachungulia

Ndo ugonjwa wangu, ndo ugonjwa waaa aaah!

Wala siendi kwa mganga wakaniibia

Mama nyakanga nimemrithia

Sio shida zangu, sio shida zaaa

Na aah! Huba lako biriani

Lenye shombo shombo ya mbuzi

Aiiy napenda unavyonisifu laini

Aah! Nafaa kwa matumizi

Ufukweniiiii

Ufukweni mwa bahari aaah! Mikono

Mikono tumeshikana aaah! Mawimbi

Mawimbi yameshamiri

Nyoyo ziiime! Nyoyo zimesemezana

Kwako nimezama (Kwako nimeraaa niko rarararara)

Kwako nimezama (Kwako nime nimezaama)

Kwako nimezama (Oooh nimezaa nimezaama)

Kwako nimezama (Kwako nime eeeh eeh zama)

Hili penzi limemshindwa shetwani mkaa kichwani

Mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani

Hili penzi limemshindwa shetani mkaa kichwani

Mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani