menu-iconlogo
logo

Kijitu

logo
লিরিক্স
Aah! Anapenda show off maisha ya kuigiza

Yani ye kila kitu anajuwa

Anapenda kujibu hata kama hajaulizwa

Aaah yani anazingua

Ooh jamani kuna kijitu kinanikeraa (Kijitu, kijitu)

Kuna kijitu kinaniboa (Kijitu, kijitu)

Kuna kijitu kinanikwaza (Kijitu, kijitu)

Kuna kijitu kinanikeraa (Kijitu, kijitu)

Oya nyie!

Anacho nikera vi maneno vya umbea miksa majungu

Na kujifanya yeye mjuaji sana kuliko Mungu

Apo kwanza naleta ubishani yani utata

Ju mweupe lakini miguuni ana mibaka

Na njiani kubadili mwenendo anavyo nyata

Ukimuona utadhani wa maana kumbe kidampa

Kuna kijituuu

Ooh jamani kuna kijitu kinanikeraa (Kijitu, kijitu)

Kuna kijitu kinaniboa (Kijitu, kijitu)

Kuna kijitu kinanikwaza (Kijitu, kijitu)

Kuna kijitu kinanikeraa (Kijitu, kijitu)

Ohoooooo!

Oya hee! We mama ntilie amekufa na mengi

Biashara ya chakula kachanganya na mapenzi

We mama ntilie amekufa na mengi

Biashara ya chakula kachanganya na mapenzi

Kibiriti cha chachuma cha bati kina ungua

Kibiriti cha chachuma cha bati kina ungua

Mijibwa hiyo

Mipaka hiyooo

Eboo mijibwa hiyo

Aiii mipaka hiyo

Oyaaaaa eeeeh eh!

D Voice-এর Kijitu - লিরিক্স এবং কভার