Si' (awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme
Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme
(Awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme
Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme (pandisha ngoma sisi si' matapeli)
Si' (awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme
Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme
(Awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme
Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme (Jaivah)
Huyo mtoto
(Huyo mtoto)
Masela huyo mtoto, huyo
(Huyo mtoto)
(Jaivah)
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Huyo mtoto
(Huyo mtoto)
Masela huyo mtoto, huyo
(Huyo mtoto) aweeh!
Si kautaka mwenyewe, huyo
Kawaletea wahuni shobo, huyo
Si' kwetu hatumli kwa macho, huyo
Si kautaka umaarufu, huyo
Oya, mwanangu Isiaka peleka moto!
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Oya, hapo kwenyewe vipi?
(Hapo kwenyewe shega) aweeh!
(Kautaka mwenyewe wahuni tunamega)
Oya, hapo kwenyewe vipi?
(Hapo kwenyewe shega) aweeh
(Kautaka mwenyewe wahuni tunamega)
Eti mtoto kalilia nini? Mtoto
(Kalilia wembe)
Mtoto kapewa nini? Mtoto
(Kapewa wembe)
Mtoto kataka nini? Mtoto
(Kataka wembe)
Mtoto kapewa nini? Mtoto
(Kapewa wembe)
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka (aweeh!)
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka (pandisha ngoma sisi si' matapeli)
Mtoto kauta-, mtoto kauta- (aweeh!)
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta- (aweeh!)
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Oya, hapo kwenyewe vipi?
(Hapo kwenyewe shega) aweeh!
(Kautaka mwenyewe wahuni tunamega)
Oya, hapo kwenyewe vipi?
(Hapo kwenyewe shega) aweeh!
(Kautaka mwenyewe wahuni tunamega)