menu-iconlogo
logo

Soup

logo
Lyrics
Abbah Mhhh

Baaaaddie shiiiiih

Nilikuwa na wanangu akina Chino

Tumetoka batani (Enheeh)

Nikawa na wanangu akina Papilon

Tunakula majani (Enheeh)

Nilikuwa na wanangu akina Posh

Tumechill maskani (Enheeh)

Ile nipo na wanangu akina Bwayy

Ndio ikapita bebe fulani (Enheeh)

Sina Salio,bebe imewaka na show(Show kali)

Sina kibunda,bebe imetaka bye show show(Show kali)

Sina Salio,bebe imewaka na show(Show kali)

Sina kibunda,bebe imetaka bye show show

Mbuzi kaanguka kwa muuza supu eeh

Alooo

Mhhhhh

Soup soup soup soup

Ayiii

Niseme nisiseme (semaa)

Niseme nisiseme (seema)

Aah huyo mtoto anautamu kama asali mama

Eti Niseme nisiseme (semaaa)

Niseme nisiseme (semaaa)

Aah huyo mtoto anautamu kama asali mama

Ayiii baaaaaddie

A Chino Mwanaman

Poooosh

Papi Papilon

Bway Mwanaman

Mmh mmmh mmmh

Bathi shaya ingoma sasama ethaveni(Cleo)

Jaivaaaaah

Awe Unjani man(enheeee)

Go away jealous man(enheeee)

Ungahluleli impumelelo yami

Stay away man

You better go rest man

Awe Unjani man(enheeee)

Go away jealous man(enheeee)

Ungahluleli impumelelo yami

Stay away man

You better go rest man

Sikujua kama ulishamposa

Ulishamposa,ulishamposa

Ningejua kama ulishamposa

Ulishamposa,mi ningemtosa

Bei chee bei chee kumkoleza

Nilifanya bei cheee

Bhuti lami we run this city

Everything we do is litty

Oya waiter leta kwanza champagne

Mbuzi kaanguka kwa muuza supu eeh

Alooo

Mhhhhh

Soup soup soup soup

Ayiii

Niseme nisiseme (Semaaa)

Niseme nisiseme (Semaaa)

Aah huyo mtoto anautamu kama asali mama

Eti Niseme nisiseme (Semaaa)

Niseme nisiseme (Semaaa)

Aah huyo mtoto anautamu kama asali mama

Ayiii Baaaaaddie

A Chino Mwanaman

Poooosh

Papi Papilon

Bway mwanaman

Mmh mmmh mmmh

Sikujua kama ulishamposa

Ulishamposa,ulishamposa

Ningejua kama ulishamposa

Ulishamposa,mi ningemtosa

Soup by Jaivah/Marioo/Chino Kidd - Lyrics & Covers